wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
Hawa washenzi sana hela za wastaafu wanawakopesha serikali wanawaua wazee wetu kwa njaa, wakati wao wanasiasa hela zao wanachukua mapema kuwekeza kwenye biashara zao
PSSSF hawana huruma na wastaafu,wanawatesa sana aisee.