Shirika la Habari la BBC imeripoti kuwa Mateka saba wa kwanza wa Israel walioshikiliwa na Kundi la Hamas huko Gaza wameachiliwa leo na wako chini ya uangalizi wa Shirika la Msalaba Mwekundu (ICRC), tayari kukabidhiwa kwa jeshi la Israel (IDF), jeshi hilo limethibitisha
Taarifa za kuachiliwa kwao zimeibua vigelegele na furaha kubwa katika Hostages Square jijini Tel Aviv
Hamas imetoa orodha rasmi ya majina ya mateka waliokuwa hai na wanaoachiliwa leo. Wote walitekwa na kushikiliwa Gaza tangu mashambulizi ya tarehe 7 Oktoba 2023
Kwa mujibu wa makubaliano hayo, Israel itawaachilia wafungwa 250 wa Kipalestina pamoja na zaidi ya wafungwa 1,700 waliokuwa wakizuiliwa
Wakati huo huo, Donald Trump anatarajiwa kuwasili nchini Israel muda mfupi ujao, kabla ya kuelekea Misri kuhudhuria mkutano wa kilele utakaowajumuisha takribani viongozi 20 wa dunia
Katika safari yake kuelekea eneo hilo, Trump alitangaza kuwa vita imekwisha huko Gaza ingawa hatua zinazofuata za makubaliano kati ya Israel na Hamas bado zinahitaji majadiliano zaidi
=======
Israeli troops accompanying hostages on return to Israel - military
More now from the statement from the Israel Defense Forces (IDF) - it says the seven returning hostages are "currently being accompanied by IDF and ISA [Israel Security Agency] forces on their return to Israel".
Once back in Israel, they will "undergo an initial medical assessment", it adds.
The military adds that it is "prepared to receive additional hostages who are expected to be transferred to the Red Cross later on".
Source: BBC