Tayari Sabaya amechomoka, kama alipewa maagizo toka juu ujambazi anahusika vipi?

Kuna ushahidi wowote kuwa ni kweli alitumwa?
 
Bro unahaha sana na Sabaya..!!
 
Magu alikuwa kiongozi muovu na wengi hilo wanalijua. Anachofanya Sabaya ni kupigia mstari jibu kwa kile kinachofahamika. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika.
 
Haya jiandae mumeo atakuwa huru soon
 
Kuna ubaya umepangwa kuchafua jina na heshima ya magufuli. Vinginevyo wala hii kesi isingekuepo. Kilichojitokeza sabaya alikua anafanya kazi maalum alizokua anatumwa na mteule wake.
 
Sabaya bor...o limeingia bila kilainishi,ameisaidia mahakama kumhukumu kwa kukubali alikua jambazi sugu,ndio mana mnaambiwa kila siku kasomeni muwe na akili plus maarifa
 

Usia wangu kwa wateule wa "MAMLAKA": OBEY LAWFUL ORDERS FROM LAWFUL AUTHORITY
Mimi hapa tu:

If this is the case, it means Sabaya OBEYED UNLAWFUL ORDER but FROM LAWFUL AUTHORITY...

Sasa tujiulize maswali mawili ya msingi;

1. Je, kuna sheria hapa Tanzania inayoweza kutumiwa na hakimu/mahakama kumpa nafuu mtu aliyetenda jinai kwa kutumwa na mamlaka iliyo halali kisheria...?

2. Kama hiyo mamlaka halali kisheria (lawful authority) ilikuwa ni lazima itende jinai hiyo, kwanini inamkana mtu iliyomtuma kuitenda hiyo jinai...?

NOTE: Binafsi akili yangu inakataa kabisa kukubali na kuamini kama mamlaka ya Urais ilimtuma huyu bwana kufanya ujinga huu kwa sababu ziwazo zozote..

Na kama ilimtuma, basi ina maana moja tu, kuwa, huyu Sabaya na mamlaka hiyo (ya Urais wa Magufuli) ni wahalifu (criminals) na wanastahili kuadhibiwa na sheria za nchi...

Bahati njema, shina lilishakula adhabu yake. Yamebaki matawi....
 
Unajua nyinyi mmevurugwa sijui hamuelewi. .hakuna tatizo la Sabaya kutumwa na mteuzi wake....I Sabaya ameeleza wazi kabisa mambo aliyokuwa akielekezwa afanye. .na inaonekana wazi kabisa wale wafanya biashara walikuwa wakwepa ķodi na taarifa ilikuwa inamfikia mkubwa mezani kwake. ..ilimbidi kufuatilia kwa kumuagiza Sabaya. Sabaya amesema wziwaz kwamba hajafanya uhalifu huo uliotungwa na wanasiasa. .it's very clear..msitake hapa kumuunganisha mtetezi wa wanyonge JPM na mambo yenu ya kutunga. ..hamtaweza kamwe. .lipeni kodi Bila shuruti Msi take advantage ya JPM kutokuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…