Bado najiuliza ni rushwa ,kujuana au maagizo.
Katika ajira zilizotoka jana za ualimu limetokea jina la Bint Halima Saidi Mohamed na amepangiwa kituo cha kazi mkoa wa Lindi wilaya ya Kilwa katika shule ya msingi Nandembo
Index namba yake inaonyesha P2537-0006/2019
Halima Saidi Mohamed
Swali tunalojiuliza inakuaje mtu aliyemaliza form four mwaka jana apate ajira mwaka huu ya ualimu tena shule ya msingi ambapo ...mafunzo yao huchukua miaka 2 ?
Je ni vigezo gani vilivyotumika binti huyu kupata ajira ?
Au ndo ile RUSHWA NI ADUI WA HAKI ILA NI RAFIKI WA DOLA.