Niko kazini mpaka sasa hivi. Lakini hiyo ndiyo shida ya watu wa serikali wana uvivu wa kusoma documents. Wanapenda kusema tuma hivyo hivyo bwana imetosha.Umewahi kufanya kazi popote ndugu? Kwamba huko ofisini huwa mtu mmoja anajifungia ofisini kwake anaandika majina na kuyatoa mtandaoni? Yeye peke yake? Seriously!
Hebu tuipitie hiyo list kuona kama waliotoa maoni wamesema kweli au la baada ya hapo tutajua kama ni Mambo ya siasa au la.Pascal Mayalla kwavile wewe wayajua mambo yakina chadema na viti maalum; Je, huu uzi una ukweli wowote au wantaka kuchafua serikali?
Hivi hakuna HKM ???Nimekutana na mtu kachaguliwa kufundisha sekondari masoma ya basic Mathematics History na Kiswahili.
Nimejiuliza huyu jamaa atakuwa amesoma kombi gani
Bila kusahau mitano fekiVyeti feki, chaguzi feki, ajira feki, demokrasia feki.
Mitano tena kwa jina la Yesu na la Muhammad
Kwa hiyo boss hafanyi proof reading ya kile alichokichapa typist/ personal secretary wake? Kwa kitu mhimu kama hiki ni zaidi ya hatari. Typist anaweza chomeka orodha yake kama boss wake ni dhaifu kiasi hicho.Huyo aliechapisha nae ni binaadam ana mapungufu yake hivo pengine amekosea tu
Wee nae kilaza kweli embu angalia index no yake ya form inaonyesha kamaliza shule mwaka 2019Kwan halima Mohammed ni mmoja tu Tanzania nzima
Majina pamoja na shule na index namba haviwezi kufanana kwa watu wawili, tuambie huyo mwingine ni yupiKwan halima Mohammed ni mmoja tu Tanzania nzima
Kabla ya kujibu elewa swali kwanza... ni ushauri tuuKwan halima Mohammed ni mmoja tu Tanzania nzima
atajiendeleza akiwa kazini mkuu acha wivu mtoto wa mkulima mwenzio katoboaBado najiuliza ni rushwa ,kujuana au maagizo.
Katika ajira zilizotoka jana za ualimu limetokea jina la Bint Halima Saidi Mohamed na amepangiwa kituo cha kazi mkoa wa Lindi wilaya ya Kilwa katika shule ya msingi Nandembo
Index namba yake inaonyesha P2537-0006/2019
Halima Saidi Mohamed
Swali tunalojiuliza inakuaje mtu aliyemaliza form four mwaka jana apate ajira mwaka huu ya ualimu tena shule ya msingi ambapo ...mafunzo yao huchukua miaka 2 ?
Je ni vigezo gani vilivyotumika binti huyu kupata ajira ?
Au ndo ile RUSHWA NI ADUI WA HAKI ILA NI RAFIKI WA DOLA.
Mkuu uki resit index namba haibadiliki hata kidogo inabaki ileile kwa sababu hupewi index mpya ila matokeo ndo yatakayobadikika tu.Huyo aliresit, akashindwa kupata matokeo mazuri ya F5, akaendelea na ualimu. Alikuwa akiresit wakati akiendelea na ualimu
Suala la Abdallah ni ushamba wa PS Kakopi table badala ya ku-expand table (insert)Tuachane na Halima, yule Abdala kaandikwa mara ngapi?
Logic sio jina ..logic ni Index namba yake ya 4m 4.Kwan halima Mohammed ni mmoja tu Tanzania nzima
We boya mtahiniwa anakuwa identified na Index number hata ufanye mtihani mara 100.. Sijui kwa nn mnashindwa kujielimisha kabla ya kuropokaHuyo aliresit, akashindwa kupata matokeo mazuri ya F5, akaendelea na ualimu. Alikuwa akiresit wakati akiendelea na ualimu