Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

Bwn. Bichwa Kubwa Jinga (BKJ) ameshazoea kughushi na kutumia nguvu kubwa kuficha Ukweli basi Sasa kila kitu ni forgery tuuuuuu....

Uchaguzi kaiba kura

Uraia wake kafoji

Kabila kafoji na Majina amefoji....

ndo maana haijulikani kama ni Msukuma ama Mhutu

Pumbavu kweli yan
 
Raisi pitia haya majina ya tamisemi yakugushiwa


Toa tamko hizo ajira zifutwe ni uhuni wa kiwango cha hali ya juu
Mwenyewe kaghushi matokeo ya Uchaguzi Mkuu unafikiri hili ataona ni tatizo kwake?

Jina lake ameghushi

Uraia kaghushi

Takwimu za Uchumi anaghushi

Sasa unatazamia Tamisemi Wafanye kitu tofauti na Madudu ya Bwana Bichwa Kubwa Jinga (BKJ)?
 
Hii pdf unayosambaza imechakachuliwa. Pakua original pdf toka kwa mamlaka husika . Hakuna jina lililojirudia mara 196. Japo hizoe errors nyingine zipo.
 
Hii pdf unayosambaza imechakachuliwa. Pakua original pdf toka kwa mamlaka husika . Hakuna jina lililojirudia mara 196. Japo hizoe errors nyingine zipo.
Hiyo ni pdf mpya wamepandisha leo,hiyo unayosema imechakachuliwa ndio iliyowekwa jana na page zilikuwa 196,ya leo page zimeongezwa hadi 197.
 
Hii pdf unayosambaza imechakachuliwa. Pakua original pdf toka kwa mamlaka husika . Hakuna jina lililojirudia mara 196. Japo hizoe errors nyingine zipo.
Baada ya kuwaumbua mmeupload nyingine
 
Huyu dogo kamaliza 2019 kapata matokeo ya hovyo kabisa, ila kapangiwa kufundisha secondary


Hivi nyie tamisemi mna nini huko


Huu uhuni jamni,

Hii Tanzania tunaenda wapi


Kwamba huko tamisemi kuna wafanyakazi vilaza namna hii hawawezi hata kuchambua mambo
 
Mkuuu nakushukuru sana kwa uchambuzii ulionyesha madudu katika
TAMISEMI

Mimi nishaapa sitokuja kuomba kazi za Serikaliii
Naipenda sana nchi yangu hiii ,Nanaujuzi wakutosha kuwahudumia mwananchi wenzanguu na kuwafikisha mahali flani lkn siitaki kujizalilisha.
Kumbukizi yangu ni nipale nilipojitosa kwenda kufanya usaili UTUMISHI KOZI NILIYOSOMA MIAKA MITATUU
nilichojibu nina uhakika ndicho nilichotokanacho darasani na mauzoefu kutoka kazini lkn Mark's nilizopata sijawai pata toka nimeanza shule kumbaruu
Sitokuja kujizalilisha na KUPOTEZA mada wangu bureee.
 
Ajira 13,000, tukiangalia listing yenu page 196 Ajira 7400 ndio zilizotoka ukihesabu ni majina 7840 na sio elfu 13 kama mnavyosema.
Kurasa moja ina majina 40 na kurasa zipo 196 na hapohapo lipo jina limejirudia mara 196 😀

ABADALLAH LEONARD SHONDE jina lake limetokea mara 196.
 
Atajiendeleza akiwa hukohuko kazini cha msingi apate ajira
 
Asante sana kwa umakini na jicho lako, nawaasa wote tulipokee hili kwa namna njema kwa maana ni lenye afya kwetu sote kiunumuishi, be positive, think think vaa viatu vya mtoa hoja, he has a point mamlaka husika ziwajibike, serikali inahitaji umakini hivyo ni vema ikawa makini siku zote hii ni aibu ambayo sio ya lazima na iko ndani ya uwezo wa watendaji. We may equally get more out of this especially dhana ya upendeleo endapo mtajwa hapo Bi. Halima kama hana cheti cha ualimu na kama kanuni haziruhusu.
 
Huyu dada ukiangalia index namba yke unajua ni mtu alio risti huo mwaka 2019 inawezekana alimaliza kitambo akaendelea na chuo akawa ana risti
 
Kaka wengine vipenyo waga wanarudi kusoma kuchunguza
 
Huyu dada ukiangalia index namba yke unajua ni mtu alio risti huo mwaka 2019 inawezekana alimaliza kitambo akaendelea na chuo akawa ana risti
Waambie Mkii, Kuna watu kinachowakera ni Jina Halima. Wala hawaangalii hiyo Index ni P au S na kuna kilaza mmoja akasema kabisa huyu kamaliza shule 2019! What a fooo-lish
Huyo Halima Index yake ni P...... kwa maaana kwamba ni PRIVATE CANDIDATE ambaye hakuwa kwenye mfumo wa Full tym darasani, yaweza kuwa shule alimaliza 2001 lkn katika Hustle za kuweka vyeti vyake vzuri akarudia mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2019. Hapo tatizo liko wapi? Tuache kuhukumu mapema kabla ya kujua uhalisia na kuwachafua wasiokuwa na hatia.
Over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…