wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,343
Misukule inasema tz haijawahi pata mzarendo kama hyu, kweli jiwe awe mzalendo na mcha mungu!!!!! Labda mungu wa kuzimu.Ndio, MITANO tena
Form 4 2018 halafu anaenda kufundisha secondary form 6 kamaliza lini? Na chuo lini?Hao ni baadhi tu mkuu ila wapo wengi sanaa.. ni udanganyifu uliokithiriView attachment 1636642View attachment 1636643View attachment 1636644View attachment 1636645View attachment 1636646View attachment 1636647View attachment 1636648View attachment 1636649View attachment 1636650
Naona ni kama vile unajaribu kuficha nia halisi ya kurudiwa kwa jina hiloMatatizo ya watumishi ya kukopi na kupaste kwenye spreadsheet bila kutumia fomula ya hesabu sahihi ndio matokeo yake hayo. Kwa mantiki hiyo jina hilo linakosesha haki ya walimu wenye sifa 195 hivyo kutoa mwanya wa rushwa kuchomeka mtu kisha orodha inarekebishwa.
Nimeona jina la huyo msela, halafu majina yamewekwa bila namba so idadi ya walioajiriwa inakua ngumu kuijua kwa haraka
Haiwezekani kivipi wakati imewezekanaHaiwezekan watoto wameomaliza form four 2019 wanaajiriwa, wamesoma chuo lini
Majina yanawalakini mkubwa sana
Yes, na Mimi nimeona. Kea Hakika hii ni Tanzania ya viwonderNimekutana na mtu kachaguliwa kufundisha sekondari masoma ya basic Mathematics History na Kiswahili.
Nimejiuliza huyu jamaa atakuwa amesoma kombi gani
Matokeo yalitoka mwezi 1/2020 na akaaza chuo mwezi 1/2020 na kuhitimu mwezi wa 9/2020 na kuajiriwa mwezi wa 11/2020 hiyo ndo bongo ya sasaKama kuna ambaye anaweza kuiekezea hii ya 2019, imewezekanaje
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Inawezekana wewe hujapat unataka wenzio wafutiweMh raisi alitumia nguvu kubwa sana kutumbua wafanyakazi hewa
Lakini cha kushangaza tamisemi wanakosa weredi kabisa kwa kuendelea kuajiri watu hewa, ambao hawana vigezo,sijui wanafanya maksudi au ndio utendaji wao kazi
Mh raisi wanakuaibisha sana hawa tamisemi, wanaajiri watu hewa, majina ya kihuni yamejaa humo
Mh raisi ingilia hili swala, pitia majina ujionee mwenyewe, nenda kule tamisemi tumbua wote wanaofanya huo uhuni, futa majina yote
Ni aibu kubwa sana, serikali inatoa ajira kihuni namna hii
Uzi tayar
Wameleta siasa na huku?
Tanzania sasa hivi kila kitu ni fojari.
Kama kuna ambaye anaweza kuiekezea hii ya 2019, imewezekanaje
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Wameshafundishwa na kuelewa somo. Kiongozi wa juu unapofanya uhuni wa kufoji wazi wazi unafikiria wa chini yako watakukuheshimu au kuogopa? Hata mimi ningefanya hivyo hivyo. Nchi imeshakuwa vurugu mechi hii kila mtu anatakiwa atumie nafasi yake.Hahahah wanafikiri ajira ni kama kura feki unajijazia tu tani yako! 😁😁