Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

Matatizo ya watumishi ya kukopi na kupaste kwenye spreadsheet bila kutumia fomula ya hesabu sahihi ndio matokeo yake hayo. Kwa mantiki hiyo jina hilo linakosesha haki ya walimu wenye sifa 195 hivyo kutoa mwanya wa rushwa kuchomeka mtu kisha orodha inarekebishwa.
Naona ni kama vile unajaribu kuficha nia halisi ya kurudiwa kwa jina hilo
 
Nasema uongo ndugu zangu.....

#MaendeleoHayanaChama
IMG_20201128_105644.jpg


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nimekutana na mtu kachaguliwa kufundisha sekondari masoma ya basic Mathematics History na Kiswahili.
Nimejiuliza huyu jamaa atakuwa amesoma kombi gani
Yes, na Mimi nimeona. Kea Hakika hii ni Tanzania ya viwonder
 
Msiharibu vitumbua vya watu eti...kuna watu tumesubiri toka 2015.
 
Kama ni kweli bac n msiba......ndo mwanzo wa walimu kuanza kufundisha logarithm darasa la kwanza halafu mwandiko ukafundishwa kidato cha nne mana mtu kasoma kombi ya hkm ndo kitu gani sasa
 
Mh raisi alitumia nguvu kubwa sana kutumbua wafanyakazi hewa

Lakini cha kushangaza tamisemi wanakosa weredi kabisa kwa kuendelea kuajiri watu hewa, ambao hawana vigezo,sijui wanafanya maksudi au ndio utendaji wao kazi

Mh raisi wanakuaibisha sana hawa tamisemi, wanaajiri watu hewa, majina ya kihuni yamejaa humo

Mh raisi ingilia hili swala, pitia majina ujionee mwenyewe, nenda kule tamisemi tumbua wote wanaofanya huo uhuni, futa majina yote

Ni aibu kubwa sana, serikali inatoa ajira kihuni namna hii

Uzi tayar
Inawezekana wewe hujapat unataka wenzio wafutiwe
 
Hahahah wanafikiri ajira ni kama kura feki unajijazia tu tani yako! 😁😁
Wameshafundishwa na kuelewa somo. Kiongozi wa juu unapofanya uhuni wa kufoji wazi wazi unafikiria wa chini yako watakukuheshimu au kuogopa? Hata mimi ningefanya hivyo hivyo. Nchi imeshakuwa vurugu mechi hii kila mtu anatakiwa atumie nafasi yake.
 
Kuna MTU ameajiriwa hapa amenitatanisha sana naomba tusaidiane kufatilia uhalisia wake

Anaitwa ABBDALLAH AHMED JIGWA
No yake ya Mtihani ni S2732-0091/2019
MTU huyu amehitimu shule ya sekondari MNADANI mwaka 2019

Haya ndo matokeo ya ana division four ya Point 31 na ufaulu wake wa masomo ni huu hapa;-

Civ F Hist D Geo F Kisw C Engl D Lit Eng F Bio F B/Math F

Leo amechaguliwa kwenda kufundisha Leo Leo Primary.
Maswali ya kujiuliza

1. Amesoma chuo kwa muda gani kama amehitimu kidato cha NNE 2019?

2. Amechukuliwaje kwenda kusoma chuoni ile hali ana Division Four ya pont 31?

3. Kama alianza kusoma chuoni akiwa hana cheti cha Form four aliruhusiwaje kusoma chuoni?
 
Back
Top Bottom