Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Huyo alifanya additional Maths ama chuo alikuwa na option ya hisabatiKuna mwingine kapangiwa , kufundisha , history , kiswahili na mathematics ,
Sasa sijui huyu alisoma combination ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo alifanya additional Maths ama chuo alikuwa na option ya hisabatiKuna mwingine kapangiwa , kufundisha , history , kiswahili na mathematics ,
Sasa sijui huyu alisoma combination ipi?
Sasa toka 1997 anaajiriwa leo ? Hatari na nusu.Kusema ukweli hizi ajira ni MAGUMASHI, hazina uhalisia wowote. Jina moja linajirudia mara nyngi na kituo ni kilekile.
Kuna wengine wamemaliza fom4 mwaka 2019 eti na wao wameajiriwa.
Swali: Kwanini hawajaandika vyuo walivyosomea? Kwanini hawajaweka serial number?
MUNGU TUNUSURU
---
---
---
PIA SOMA:
= > TAMISEMI yatangaza ajira za walimu shule za msingi na sekondari. Walimu waliopata ajira watakiwa kuripoti kuanzia Desemba mosi, 2020
Mkuu maisha yanaedelea ujue hiloTumeomba Takukuru ipelekewa majina yote yaliyopitishwa kuajiriwa kabla hawajaripoti kwenye vitu vya kazi. Tanzania Kuna watu wanatumia fursaya mfumo kupiga deal au kuiba.kuna ufisadi mkubwa Sana Tamisemi hasa kupitia ajira za wasalimu wapya 2020.
Mkuu uki resit index namba haibadiliki hata kidogo inabaki ileile kwa sababu hupewi index mpya ila matokeo ndo yatakayobadikika tu.
Hebu mkubali kujulishwa vitu na sisi walimu kwenye hiliWee nae kilaza kweli embu angalia index no yake ya form inaonyesha kamaliza shule mwaka 2019
Au mwenzetu hukufika hata form 4 ila kama umefika utaona mfano S.101.202.2017 huyu unajua kamaliza 2017 sasa mtoa mada anamaanisha index no ya huyo Halima inaishia na 2019 je alisoma chuo kwa miaka mi ngapi na kumaliza hiyo kozi iwe certificate au diploma
Hjjawahi kusikia mtu ana PhD lakini anasomea certificate ya kitu kingine?Anarudia mtihani wa form four wa nini kama alishafika chuo na akasomea ualimu? How can people be this foolish hata kuchambua vitu virahisi? So kasomaje chuo hadi aje aresit saivi smh
Mbona hao wapo. Hasa humu mitandaoni🙂Hii inchi imeoza yaani kila kitu fake si mda sana tutaanza kuona watu fake pia ambao usipokiwa makini waweza kuona ni mtu halisia.
Acha kabisa kudanganya watu wewe!hakuna hicho kitu kabisa!unafahamu maana ya index number wewe?Acha uongo kabisaMkuu uki resit index namba haibadiliki hata kidogo inabaki ileile kwa sababu hupewi index mpya ila matokeo ndo yatakayobadikika tu.
Mkuu unapaswa kuwa makini sana,tatizo la kujijengea akili ya kupinga kila kitu matokeo yake huwa ndo haya,swali lako liko nje ya hoja ya mtoa maadaKwan halima Mohammed ni mmoja tu Tanzania nzima
Bado najiuliza ni rushwa ,kujuana au maagizo.
Katika ajira zilizotoka jana za ualimu limetokea jina la Bint Halima Saidi Mohamed na amepangiwa kituo cha kazi mkoa wa Lindi wilaya ya Kilwa katika shule ya msingi Nandembo...
Tatizo udumavu wa akili mkuu, akili ikidumaa reasoning inashuka Sanaa....We boya mtahiniwa anakuwa identified na Index number hata ufanye mtihani mara 100.. Sijui kwa nn mnashindwa kujielimisha kabla ya kuropoka
Usibishane na mpumbavu ili watu wajue tofauti kati yako na mpumbavuMajina pamoja na shule na index namba haviwezi kufanana kwa watu wawili, tuambie huyo mwingine ni yupi
Index number huwa wanachukua ya form 4 jomba. Mleta mada ana hoja ya msingi!Huyo aliresit, akashindwa kupata matokeo mazuri ya F5, akaendelea na ualimu. Alikuwa akiresit wakati akiendelea na ualimu