Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Gari la farasi ni dhahabu tupu......
Hiyo dhahabu ilitokea Ghana (Gold cost) na Geita kipindi cha ukoloni wao huku Afrika.
Walipora mali zetu kishenzi halafu leo wanazitumia "kusimikana" nazo kifahari katika tawala zao za anasa huku sisi tukikodolea macho na shida na umasikini wa kutupwa.
Hao wanayo reserve kubwa ya dhahabu kitu kinachoifanya Uingereza iwe ni miongoni mwa nchi tajiri duniani.