Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
🤣🤣🤣🤣Ukilala tunakagua Hadi JF app,tukifanikiwa kujua ID yako tunakozoom tu ujinga unaoongeaLazima atakuwemo, janja janja sana nyie.....ila hawezi kuninasa mimi baharia mzoefu 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Ukilala tunakagua Hadi JF app,tukifanikiwa kujua ID yako tunakozoom tu ujinga unaoongeaLazima atakuwemo, janja janja sana nyie.....ila hawezi kuninasa mimi baharia mzoefu 🤣
Mkuu take it easy...kawaida tu, anajua nini anafanya........ni mtu mzima, yupo huru kiimani na kifikra.
Umeona eeh! nilishashtukia mtego.....atanasa manyoya 🤣🤣 siku hizi humu natoa comment kama baba mchungaji.🤣🤣🤣🤣Ukilala tunakagua Hadi JF app,tukifanikiwa kujua ID yako tunakozoom tu ujinga unaoongea
Mdau ni Kama anaishi sayari nyingine kabisa.Maisha sio rahisi Kama unavyoyachukulia....usione watu wanapata msongo wa mawazo Kuna mengi kwenye Maisha ukikua utaelewa ninchomaanisha
Mdau anajizima dataMdau ni Kama anaishi sayari nyingine kabisa.
🤣🤣🤣🤣🤣Unajitia baba mpenda familia mwenye werediiiiUmeona eeh! nilishashtukia mtego.....atanasa manyoya 🤣🤣 siku hizi humu natoa comment kama baba mchungaji.
Na busara juu 🤣🤣 vinginevyo itabidi nimwombe Genta ID moja nianze kufunguka upya.🤣🤣🤣🤣🤣Unajitia baba mpenda familia mwenye werediiii
🤣🤣🤣🤣🤣Popoma atakupa kweli?ukipata Sasa uinunulie ki simu msukule ambacho kachero hatakijua maana akiijua tu umebambwa tenaNa busara juu 🤣🤣 vinginevyo itabidi nimwombe Genta ID moja nianze kufunguka upya.
Picha hazifunguki [emoji24]Picha zipo nyingi sana ila nakuletea baadhi tu zinazojieleza na kukupa maswali.
View attachment 2612495
[emoji1489]Huyu jamaa Prince Harry, aliudhuria sherehe ya kutawazwa kwa baba yake, Mfalme Charles III, ila mnajua shida aliyo nayo.
View attachment 2612501
[emoji1489]Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak na mkewe Akshata Murty wakiwasili kabla ya kutawazwa.
Kuna jambo la kujifunza hapo muhindi kazaliwa uingereza alafu kawa kiongozi wa wazungu na anapewa heshima zote, vipi hapo kwenu!.
View attachment 2612503
[emoji1489]Mke wa Rais wa Marekani Dk Jill Biden (nguo ya buluu), na mjukuu wake Finnegan Biden wakiingia eneo la tukio mapema.
View attachment 2612505
[emoji1489]Mfalme Charles III na Malkia Camilla wakisafiri kwenye kigari cha Dhahabu, kilichoundwa mnamo mwaka 1760 na kutumika katika kila unapoapishwa Ufalme mpya tangu ule wa William IV mnamo 1831 hadi leo 2023.
Katika picha hii ndipo unaweza kuona baadhi ya askali wanaume na wanawake kutoka nchi Jumuiya ya madola wakiwakilisha nchi zao.
Jaribu kuzoom kwa karibu askali aliyepo upande wa kushoto unaweza kuwa unamfaham labda katoka kambi ya kikosi gani hapa Tanzania.
Moderator mada hii haifanani na mada yoyote so naomba initegemee kama inavyoonekana.
Kama unatumia app. Ingia kupitia browser Kama Google chrome au opera min zinafunguka fresh tuPicha hazifunguki [emoji24]
Ila Wanawake inabidi tuwe na huruma wakati mwingine. Hivi unajisikiaje pale mwanaume ameishi na ndugu zake vizuri maisha yake yote Ila baada ya ujio wako mtu anajitenga na nduguze.Ni kweli kabisa unagombanaje na familia kisa mwanamke anahisi mara hapendwi na mbaya zaidi ana force kujitenga na familia zipi watu Huwa hawatofautiani na huyo Meghan hapatani hata na familia ya baba yake na nduguze. In short Meghan ni toxic mno and bitter
Indeed, km mke wa aliyekuwa rais wa Marekani ,Trump...Hii i think ni destiny au fate
Au ww wasemaje mkuu?
What if, kahangaika Kwa uwezo wake kuunganisha familia ikashindikana jmn?Ila Wanawake inabidi tuwe na huruma wakati mwingine. Hivi unajisikiaje pale mwanaume ameishi na ndugu zake vizuri maisha yake yote Ila baada ya ujio wako mtu anajitenga na nduguze.
Inabidi tujifunze kuwa Kama daraja kuunganisha familia badala ya kuchochea magomvi.
Yapo yaliyofanyika wakati wa kuanzisha huo mfumo...Sijui kuna nguvu gani kwenye huu utawala wa kifalme. Maana likitokea zigo anabebeshwa Waziri mkuu,anafukuzwa/kuachia madaraka. Mfalme/Malkia yeye katuliaa
Kumbeee🤔🤔Hawa unafki tupu.Kwanza huyu Charles hakutakiwa kuwa mfalme.Maana aliwahi talakiana na Diana. Sema mama yake ilibidi abadili sheria ili Charles aweze kuwa king. Zile sharia za kabla Elizabeth kubadili sheria, ni mtoto wa mwisho wa Elizabeth ndo alitakiwa awe king. Prince Edward. Hata sijaangalia huku kuapishwa. Mimi kwangu Diana ndo Queen.
Labda maana hapa tunazoza tu. Hatuna uhakikaWhat if, kahangaika Kwa uwezo wake kuunganisha familia ikashindikana jmn?
Amuache mumewe?