ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Ni mwanaume mpumbavu tu ndio atagombana na familia kisa mkewe. Kwa hawa wanawake wa kizazi cha nyoka, tena mmarekani ambaye ndoa ya kwanza ilishamshinda. Harry amesacrifice familia yake kwa mwanamke asiyejielewa. Sidhani kama ndoa yao itakuwa na maisha marefu.Na harry kagombana na familia nzima kisa mwanamke au viugomvi vya Meghan na Catherine wanaume inabidi muwe smart wanawake viugomvi vyetu Huwa vya mambo ya hovyo na wewe mwanaume ukiingia kichwa kichwa inakula kwako
We are emotions in decision making