Tazama Baadhi Ya Picha: Kutawazwa kwa Mfalme Charles III

Tazama Baadhi Ya Picha: Kutawazwa kwa Mfalme Charles III

Kwa ufupi ni kuwa mwaka 2020, Price Harry aliamua kujitenga na kuondoka kutoka kwenye maisha ya kifalme.

Kisa na mkasa ni yule mwanamke mwenye asili ya Afrika Meghan na alitangaza uamuzi wa kuwa mbali kutoka kwa familia yao ambayo ilipinga sana kuingiza rangi nyeusi kwenye ukoo.
Ss kama Meghan tu anaonekana mweusi vile hali ingekuwaje angeowa pure black from Jamaica [emoji848]
 
Wapo shwari nadhani safari hii waliamua wasitoe kiki. Media za Uk huwa zinachangamka sana zikimuona meghan kwenye hizo sherehe na kumzushia mabaya ya kila aina
Bora kakaa nao mbali aisee,nilimuonea huruma mume alivyokuwa peke yake nikaona wasijekuwa wametofautiana maana penzi lao ni penzi la mfano lile,natamani wazeeke pamoja
 
Bora kakaa nao mbali aisee,nilimuonea huruma mume alivyokuwa peke yake nikaona wasijekuwa wametofautiana maana penzi lao ni penzi la mfano lile,natamani wazeeke pamoja
Huwa namhurumia Sana Harry amefanya sacrifice kubwa kwa ajili ya Meghan. Wamarekani huwa siwaamini Sana wanapenda kufile divorce hata kwa kosa dogo.
 
Huwa namhurumia Sana Harry amefanya sacrifice kubwa kwa ajili ya Meghan. Wamarekani huwa siwaamini Sana wanapenda kufile divorce hata kwa kosa dogo.
Kabisa,nilipata hofu sana nilivyomuona peke yake,,,yaani Meghan akimfanyia hivyo daaah atakuwa kamfanyia kitu kibaya sana sijui Harry ataweka wapi sura yake
 
Huwa namhurumia Sana Harry amefanya sacrifice kubwa kwa ajili ya Meghan. Wamarekani huwa siwaamini Sana wanapenda kufile divorce hata kwa kosa dogo.
Meghan naona ana shida yule ka ndoa ya kwanza ilimshinda hata hii pia itamshinda hafu why wao tu ndio hulalamika kutendewa mabaya Ina maana wao ni malaika hawajawaudhi wengine. Maana kwenye familia kutofautiana hata kugombana ni kawaida mwisho wa siku watu hu reconcile
 
Ni suala la muda tu huyo Meghan atakuja kumpiga tukio moja la kibabe Sana Harry hataamini..
Na harry kagombana na familia nzima kisa mwanamke au viugomvi vya Meghan na Catherine wanaume inabidi muwe smart wanawake viugomvi vyetu Huwa vya mambo ya hovyo na wewe mwanaume ukiingia kichwa kichwa inakula kwako
We are emotions in decision making
 
Hata ukipendeza zaidi yake mwenzio anakasirika teh teh
 
Tuandamane kudai vitu vyetu,waliwasainisha kina Chief Mangungo mikataba fake wakawapa migolole na vioo wakachukua dhahabu,,,pambafu wazungu
Mwizi mwenyewe tumempa hadi askali wakamsindikize kwenye sherehe yake, 😂 ahahahaaa!.
 
Nafikiri kuna kitu kilimuumiza sana huyu ujamaa zaidi ya wanayo tuelezea mbele za macho yetu.
Itakuwa haziivi na huyo mzee wake, mara nyingi wazazi wanapotifuana inawavuruga hadi watoto.

Pia inaweza kuwa ni katika hali ya kudeka.....si unajua watoto wa mwisho kuzaliwa huwa wanapenda waonekane special kwa wazazi. Unakuta hata muda wa msosi kinafanya tu mambo yake ili mradi wakaulizie tu, fulani yuko wapi? Fanya wewe mkubwa, utasikia tu ameshakula huyoo mwacheni🤣🤣.​
 
Meghan naona ana shida yule ka ndoa ya kwanza ilimshinda hata hii pia itamshinda hafu why wao tu ndio hulalamika kutendewa mabaya Ina maana wao ni malaika hawajawaudhi wengine. Maana kwenye familia kutofautiana hata kugombana ni kawaida mwisho wa siku watu hu reconcile
Yaani Harry kujitenga na familia ni kosa ambalo àtakuja alijutie siku moja.
Halafu babake king Charles naona Kama huwa hajali kabisa mambo ya mwanaye, kiasi naanza kuamini maneno ya media, Kwamba Kuna uwezekano Harry sio mtoto halali wa his majesty
 
Back
Top Bottom