Tazama Baadhi Ya Picha: Kutawazwa kwa Mfalme Charles III

Tazama Baadhi Ya Picha: Kutawazwa kwa Mfalme Charles III

Sijui kuna nguvu gani kwenye huu utawala wa kifalme. Maana likitokea zigo anabebeshwa Waziri mkuu,anafukuzwa/kuachia madaraka. Mfalme/Malkia yeye katuliaa
Ufalme ni symbol tu ya heshima ya utamaduni wao,waziri mkuu na bunge ndio mtendaji wa shughuli za nchi ndio maana Mambo yakienda mrama waziri mkuu anawajibishwa
 
Aisee lilikuwa linang'aa balaaa
Angalia kwa karibu hapa, uone dhahabu zetu, sijui kama walinunua hawa 😢!.
IMG_20230507_101030.jpg
 
Mapicha ni mengi sana my dear ila chukua hii hapa 👇🏾
View attachment 2612568

☝🏾Mwenzako aliyekuwa nyumba ndogo Camila (pichani) sasa amekuwa Malkia wa Uingereza, alikuwa nyumba ndogo wa Prince Charles ambaye baadae alifunga ndoa rasmi na Prince 2005.

Kuwa mwaminifu kwa mwanaume uliye naye!.
Huyo ndio alisabisha matatizo ya Diana, Waingereza hawampendi sana.
 
Waingereza wenyewe wanaelekea kuchoshwa na mfumo wa kifalme. Budget ya kuihudumia familia ya kifalme ni kubwa sana, wanahoji.
Nadhani shida ni watu tu wamechoka na kutukuza familia moja.

Lakini hiyo familia inaingiza mapato makubwa sana UINGEREZA kwa UTALII.

Pili, hiyo familia haifanyi maamuzi yoyote ipo tu kama ceremonial.

Maamuzi ya maisha ya siasa za UINGEREZA hufanyika bungeni na Waziri Mkuu wa UINGEREZA ambaye huchaguliwa kwa kura.
 
Mapicha ni mengi sana my dear ila chukua hii hapa [emoji1484]
View attachment 2612568

[emoji1489]Mwenzako aliyekuwa nyumba ndogo Camila (pichani) sasa amekuwa Malkia wa Uingereza, alikuwa nyumba ndogo wa Prince Charles ambaye baadae alifunga ndoa rasmi na Prince 2005.

Kuwa mwaminifu kwa mwanaume uliye naye!.
Jamiiforums sijui siku hizi wakoje..haifungui picha, kuna shida mahali

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom