Tazama Baadhi Ya Picha: Kutawazwa kwa Mfalme Charles III

Tazama Baadhi Ya Picha: Kutawazwa kwa Mfalme Charles III

Victoire mambo yako haya
Hawa unafki tupu.Kwanza huyu Charles hakutakiwa kuwa mfalme.Maana aliwahi talakiana na Diana. Sema mama yake ilibidi abadili sheria ili Charles aweze kuwa king. Zile sharia za kabla Elizabeth kubadili sheria, ni mtoto wa mwisho wa Elizabeth ndo alitakiwa awe king. Prince Edward. Hata sijaangalia huku kuapishwa. Mimi kwangu Diana ndo Queen.
 
Kwa ufupi ni kuwa mwaka 2020, Price Harry aliamua kujitenga na kuondoka kutoka kwenye maisha ya kifalme.

Kisa na mkasa ni yule mwanamke mwenye asili ya Afrika Meghan na alitangaza uamuzi wa kuwa mbali kutoka kwa familia yao ambayo ilipinga sana kuingiza rangi nyeusi kwenye ukoo.

we jamaa muongo duh.

Asili yake mmarekani mweusi
 
Back
Top Bottom