Tazama Baadhi Ya Picha: Kutawazwa kwa Mfalme Charles III

Tazama Baadhi Ya Picha: Kutawazwa kwa Mfalme Charles III

Hawafiki hata 0.05% ya raia wote wa Uingereza!

Kuanzia viongozi wa kisiasa hadi kidini wanaunga mkono Ufalme...

Hakuna anayeelekea kuchoka.
Ukiona kuna watu wachache wanaulizia utaratibu wa jambo usishupaze shingo kuona hao 98 hawajauliza ukafikiri jambo liko vizuri.hao asilimia 2 niwale majasiri ila wanawakilisha sauti ya wengi ambao hawana uthubutu.Huo ufalme umelindwa kwa miaka mingi sana kwahiyo usifikiri utadumu zaidi ya hapo kama kuna wenye uthubutu wakuhoji wameanza kuuliza.
 
Ukoloni uliisha Ila umebaki ule wa mind set Hadi leo , waafrika wanawatetemekea
Picha zipo nyingi sana ila nakuletea baadhi tu zinazojieleza na kukupa maswali.
View attachment 2612495
☝🏾Huyu jamaa Prince Harry, aliudhuria sherehe ya kutawazwa kwa baba yake, Mfalme Charles III, ila mnajua shida aliyo nayo.

View attachment 2612501
☝🏾Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak na mkewe Akshata Murty wakiwasili kabla ya kutawazwa.

Kuna jambo la kujifunza hapo muhindi kazaliwa uingereza alafu kawa kiongozi wa wazungu na anapewa heshima zote, vipi hapo kwenu!.
View attachment 2612503

☝🏾Mke wa Rais wa Marekani Dk Jill Biden (nguo ya buluu), na mjukuu wake Finnegan Biden wakiingia eneo la tukio mapema.

View attachment 2612505
☝🏾Mfalme Charles III na Malkia Camilla wakisafiri kwenye kigari cha Dhahabu, kilichoundwa mnamo mwaka 1760 na kutumika katika kila unapoapishwa Ufalme mpya tangu ule wa William IV mnamo 1831 hadi leo 2023.

Katika picha hii ndipo unaweza kuona baadhi ya askali wanaume na wanawake kutoka nchi Jumuiya ya madola wakiwakilisha nchi zao.

Jaribu kuzoom kwa karibu askali aliyepo upande wa kushoto unaweza kuwa unamfaham labda katoka kambi ya kikosi gani hapa Tanzania.



Moderator mada hii haifanani na mada yoyote so naomba initegemee kama inavyoonekana.
 
Huyu Prince William ana umri gani mbona kipara kimekubali sana?kinataka kukaribiana na cha Bishop.
JamiiForums323184888.jpg
 
Yaani namba tatu nyeupee na sita nyeupee ukizoom utajua Dunia Haina usawa aisee
 

Attachments

  • gettyimages-1487989293.jpg
    gettyimages-1487989293.jpg
    285.2 KB · Views: 5
Back
Top Bottom