Tazama Baadhi Ya Picha: Kutawazwa kwa Mfalme Charles III

Tazama Baadhi Ya Picha: Kutawazwa kwa Mfalme Charles III

Inavyoelekea hata kabla ya kuoa Harry inawezekana hakuwa comfortable within the family, kwa hiyo kuoa ilikuwa kama fursa kwake kufanya hizo moves ili awe independent zaidi, na huenda ilisababishwa na mambo yaliyozunguka kifo cha mama yake.....kwa hiyo watu kufikiri Meghan anaweza kuwa ndiyo chanzo inaweza ikawa siyo kweli.​
 
Picha zipo nyingi sana ila nakuletea baadhi tu zinazojieleza na kukupa maswali.
View attachment 2612495
[emoji1489]Huyu jamaa Prince Harry, aliudhuria sherehe ya kutawazwa kwa baba yake, Mfalme Charles III, ila mnajua shida aliyo nayo.

View attachment 2612501
[emoji1489]Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak na mkewe Akshata Murty wakiwasili kabla ya kutawazwa.

Kuna jambo la kujifunza hapo muhindi kazaliwa uingereza alafu kawa kiongozi wa wazungu na anapewa heshima zote, vipi hapo kwenu!.
View attachment 2612503

[emoji1489]Mke wa Rais wa Marekani Dk Jill Biden (nguo ya buluu), na mjukuu wake Finnegan Biden wakiingia eneo la tukio mapema.

View attachment 2612505
[emoji1489]Mfalme Charles III na Malkia Camilla wakisafiri kwenye kigari cha Dhahabu, kilichoundwa mnamo mwaka 1760 na kutumika katika kila unapoapishwa Ufalme mpya tangu ule wa William IV mnamo 1831 hadi leo 2023.

Katika picha hii ndipo unaweza kuona baadhi ya askali wanaume na wanawake kutoka nchi Jumuiya ya madola wakiwakilisha nchi zao.

Jaribu kuzoom kwa karibu askali aliyepo upande wa kushoto unaweza kuwa unamfaham labda katoka kambi ya kikosi gani hapa Tanzania.



Moderator mada hii haifanani na mada yoyote so naomba initegemee kama inavyoonekana.
Picha hazifunguki [emoji24]
 
upuuzi tu sasa huyo mkoloni aliyerithi kiti cha mamaake mnamsujudia wa kazi gani, mnaacha kufanya kazi mnatafuta taarifa za kipumbaf , huuu ni ujinga kabisaaa na mirais ya afrika kama kawa imeenda ya kutosha kabisaaaa kupakiwa kwenye mabasi SHAME
 
Ni kweli kabisa unagombanaje na familia kisa mwanamke anahisi mara hapendwi na mbaya zaidi ana force kujitenga na familia zipi watu Huwa hawatofautiani na huyo Meghan hapatani hata na familia ya baba yake na nduguze. In short Meghan ni toxic mno and bitter
Ila Wanawake inabidi tuwe na huruma wakati mwingine. Hivi unajisikiaje pale mwanaume ameishi na ndugu zake vizuri maisha yake yote Ila baada ya ujio wako mtu anajitenga na nduguze.
Inabidi tujifunze kuwa Kama daraja kuunganisha familia badala ya kuchochea magomvi.
 
Ila Wanawake inabidi tuwe na huruma wakati mwingine. Hivi unajisikiaje pale mwanaume ameishi na ndugu zake vizuri maisha yake yote Ila baada ya ujio wako mtu anajitenga na nduguze.
Inabidi tujifunze kuwa Kama daraja kuunganisha familia badala ya kuchochea magomvi.
What if, kahangaika Kwa uwezo wake kuunganisha familia ikashindikana jmn?
Amuache mumewe?
 
Sijui kuna nguvu gani kwenye huu utawala wa kifalme. Maana likitokea zigo anabebeshwa Waziri mkuu,anafukuzwa/kuachia madaraka. Mfalme/Malkia yeye katuliaa
Yapo yaliyofanyika wakati wa kuanzisha huo mfumo...
Kwahiyo ipo nguvu nyuma yake ya hayo mambo
Nadhani umeelewa...
 
Hawa unafki tupu.Kwanza huyu Charles hakutakiwa kuwa mfalme.Maana aliwahi talakiana na Diana. Sema mama yake ilibidi abadili sheria ili Charles aweze kuwa king. Zile sharia za kabla Elizabeth kubadili sheria, ni mtoto wa mwisho wa Elizabeth ndo alitakiwa awe king. Prince Edward. Hata sijaangalia huku kuapishwa. Mimi kwangu Diana ndo Queen.
Kumbeee🤔🤔
 
Back
Top Bottom