Gari la farasi ni dhahabu tupu......
Umesoma kitabu cha Spare alichoandika Harry?Meghan naona ana shida yule ka ndoa ya kwanza ilimshinda hata hii pia itamshinda hafu why wao tu ndio hulalamika kutendewa mabaya Ina maana wao ni malaika hawajawaudhi wengine. Maana kwenye familia kutofautiana hata kugombana ni kawaida mwisho wa siku watu hu reconcile
Yaani, kwakweli hatujui Mungu awasaidieLabda maana hapa tunazoza tu. Hatuna uhakika
Utauza wapi hikoDuh ,ichi kigari ukikiiba ,hiyo dhahabu utajiri wako,watakula Hadi vitukuu,na itabaki
Sijakisoma ila watu walalamishi nakuonaga wao tu wanaonewa Huwa Wana shidaUmesoma kitabu cha Spare alichoandika Harry?
Uko sahihi kabisaIla Wanawake inabidi tuwe na huruma wakati mwingine. Hivi unajisikiaje pale mwanaume ameishi na ndugu zake vizuri maisha yake yote Ila baada ya ujio wako mtu anajitenga na nduguze.
Inabidi tujifunze kuwa Kama daraja kuunganisha familia badala ya kuchochea magomvi.