Tazama Bombardier Q400 mbili za JAMBOJET Kenya nchini canada zikishukwa!!!!

We learn from u Kenyans quoting Kenyan websites. Utahira wa hali ya juu!
Mimi ni mtanzania halisi brother natokea kusini Ili sijasoma kama wewe, labda nikijishusha saaaana utaacha kunitukana nimekusikia mkuuuu
 
Nimeona hapa mtu akisema Tanzania has more investors than Kenya. Tafadhali fafanua zaidi
 
Geza Ulole nionueshe Airline kubwa making a profit kwa biashara yake ya usafiri.
Ukiondoa SAA na KQ, zilizobaki zote zinatengeneza faida. KLM, Qatar, Turkey, Emirate, zote zinatengeneza faida, Ingia katika websites zao utafite balance sheets zao ujionee. Tatizo lenu ninyi mnadhani dunia nzima rotates around Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Lenu JE? [emoji23][emoji23][emoji88]

Koma kusifia za wengine.
 
So you are telling us most of investments in Kenya are local?? Not controlled by foreigners as you guys claim?
Ninashindwa kuelewa nini unataka kuuliza, hapa tunazungumzia new investment from outside, Kama ambavyo kuna utalii wa ndani na utalii kutoka nje Ambapo contribution ya revenue ya tourism almost all inatokana na watalii wanaotoka nje. Hivyo hivyo katika investment nearly 95% ya capital inatokana na FDI, kama nchi inapata FDI ndogo, basi total investment yake ni ndogo sana, makampuni yetu ya ndani hayana capitals kubwa kuweza kuinvest katika big projects kama mining, infrastructure, electricity and manufacturing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I was just curious. Wanted kuelewa something sikuwa naelewa. Merci
 
So you are telling us most of investments in Kenya are local?? Not controlled by foreigners as you guys claim?
Nice one! Wanasemaga investment zote Kenya ni za wazungu na 'foreigners'. Hapa kwenye hili swali lako lazima wajitie hamnazo.
 
Hivi mbona una UTOTO mwingi hivi? Hauna AIBU?

Ahaaa haaa haaa

Sijui nikuambieje!!!?
Le me put like this, in Tanzania we receive wageni from different countries to learn on how the BRT works. Even the big boss of Nairobi. They come to study good practice so as they could replicate in their countries.

Sasa kununua bombardias mmeona it's better to borrow a leaf or two from the neighbour so as to revive your ailing flag carrier.
 
Kwahivyo JamboJet wakinunua bombardier ndio wamemuiga Magufuli? Watz na miungu watu bana! Hivi nani ndiye C.E.O. wa ATCL? Au ndio Jiwe mwenyewe? [emoji1]
 
Kwahivyo JamboJet wakinunua bombardier ndio wamemuiga Magufuli? Watz na miungu watu bana! Hivi nani ndiye C.E.O. wa ATCL? Au ndio Jiwe mwenyewe? [emoji1]


Ahaaa haaa haaa
Wewe hujui maana ya GOOD practice and practical experience?
 
Actually, JPM alienda kwa Mr.Slim(Kagame) akapewa mawaidha kuhusu Bombadier na advatage ya kununua kuliko kukodi
Kama ambavyo Tanzania ilijifinza makosa ya Kenya katika ujenzi wa SGR na kuchagua njia tofauti na waliyotumia Kenya hatimae Tanzania inajenga more superior SGR than Kenya at half the price.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…