Ninashindwa kuelewa nini unataka kuuliza, hapa tunazungumzia new investment from outside, Kama ambavyo kuna utalii wa ndani na utalii kutoka nje Ambapo contribution ya revenue ya tourism almost all inatokana na watalii wanaotoka nje. Hivyo hivyo katika investment nearly 95% ya capital inatokana na FDI, kama nchi inapata FDI ndogo, basi total investment yake ni ndogo sana, makampuni yetu ya ndani hayana capitals kubwa kuweza kuinvest katika big projects kama mining, infrastructure, electricity and manufacturing.
Sent using
Jamii Forums mobile app