Wewe mchochezi, hao wanapewa
bure sukari na Mbunge wao, hongera sana Mh Mbunge kwa kuwajali wananchi wako..
Awamu ya tano inapiga kazi sana, pato la Mtanzania limekua na uchumi unakua kwa zaidi ya 7%.. Soon Watanzania kama wa hapo Moro wataanza kupanga foleni wakipewa bidhaa bure na Serikali yao..Tuchape kazi..
Look at you? Matumizi ya sukari sio chai tu. Ikikosekana viwanda vingi vitafungwa kama vile soda, mikate, beer, biscuits etc. Vikifungwa hivi vitaongeza wasio na kazi na kodi ya nchi itapungua sana. Next time fikiria na long term effects ya kitu before you commit pen to paper. Sawa mama....Tusio kunywaga Chai tunawachora tuuu
Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.
Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.
Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.
Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!
Kwa muda Miaka mitano ameshindwa kutatua tatizo la sukari ndio ataweza kuondoa umasikini! Haiwezekani.Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.
Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.
Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.
Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!
Poleni wa Morogoro, foleni hii nilipanga mwaka 1980 waliokuwepo wanaijua kumbe imeanza kurudi kwenye nchi ya maziwa na asali, nawaza Kwa sautiHii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.
Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.
Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.
Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!
Hali mbaya ,tambi tumegeuza makaroni sukari haipatikani kabisa.imefikia kilo elfu 4. mtaani haipatikani.
Morogoro wanunua kwa foleni.
huko ulipo hali ikoje!?
Sent from my iPhone using JamiiForums
golemsHii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.
Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.
Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.
Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!
duh foleni kama bado tupo enzi za ukoloniHii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.
Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.
Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.
Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!
Mammae hahaha. Hii imenikumbusha ile, kama unga ni ghali acha nunua mchele.Tatizo la watanzania hawafuati maelezo ya viongozi wao mbona naibu waziri wa viwanda na biashara Stella Manyanya aliisema tutumie asali.
Sent using Jamii Forums mobile app
We mama hata nyumba yako itakua chafu sana. Manyanya ndio wa kukupa ushauri. Inaelekea hata kuvaa hujui wewe. Unajua bei ua asali au unajisemea tu? Mume wako atakua na tabu sana.Tatizo la watanzania hawafuati maelezo ya viongozi wao mbona naibu waziri wa viwanda na biashara Stella Manyanya aliisema tutumie asali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yuko zake Chato anajifukiza hana habari yanHii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.
Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.
Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.
Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!
Madam mzalendo iq1. You seem to be long on rhetorics and zero on substance. My advise to you. Even a fish can avoid a lot of problems by simply closing its mouth.Kama sukar imepanda Bei moja ya sababu ni ili janga la Corona na mnailaum serekal Basi msiwe wanafk pia sababu ya janga ili ili la Corona mafuta yameshuka Bei pia ipongezen serekal Ila mtaani kwetu hamna duka hata moja Lina sukar
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mchochezi, hao wanapewa
bure sukari na Mbunge wao, hongera sana Mh Mbunge kwa kuwajali wananchi wako..
Awamu ya tano inapiga kazi sana, pato la Mtanzania limekua na uchumi unakua kwa zaidi ya 7%.. Soon Watanzania kama wa hapo Moro wataanza kupanga foleni wakipewa bidhaa bure na Serikali yao..Tuchape kazi..
Wazalishaji, Waigizaji wakubwa na Wauzaji Wakubwa wa sukari wote ni Waislamu, LAKINI kila mfungo mtukufu wa Ramadhani ukifika lazima shida hii ya sukari iibuke.
SIWAELEWI.
Mammae hahaha. Hii imenikumbusha ile, kama unga ni ghali acha nunua mchele.
Acha uzwazwa unafikiri asali imekuwa chumvi inapatikana kila kona,au unatuletea stori za nchi ya maziwa na asali. Acheni kufanya siasa kwenye zisizo na tija kwenye maisha ya watuTatizo la watanzania hawafuati maelezo ya viongozi wao mbona naibu waziri wa viwanda na biashara Stella Manyanya aliisema tutumie asali.
Sent using Jamii Forums mobile app