Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

Siyo ethical pia kugawa chakula bure mitaani. Watu wataacha kufanya kazi na kupanga foleni kupokea msaada? Devota Minja naye kesho atagawa sabuni na tambi za futari
Wewe mchochezi, hao wanapewa
bure sukari na Mbunge wao, hongera sana Mh Mbunge kwa kuwajali wananchi wako..

Awamu ya tano inapiga kazi sana, pato la Mtanzania limekua na uchumi unakua kwa zaidi ya 7%.. Soon Watanzania kama wa hapo Moro wataanza kupanga foleni wakipewa bidhaa bure na Serikali yao..Tuchape kazi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusio kunywaga Chai tunawachora tuuu
Look at you? Matumizi ya sukari sio chai tu. Ikikosekana viwanda vingi vitafungwa kama vile soda, mikate, beer, biscuits etc. Vikifungwa hivi vitaongeza wasio na kazi na kodi ya nchi itapungua sana. Next time fikiria na long term effects ya kitu before you commit pen to paper. Sawa mama....
 
Kama sukar imepanda Bei moja ya sababu ni ili janga la Corona na mnailaum serekal Basi msiwe wanafk pia sababu ya janga ili ili la Corona mafuta yameshuka Bei pia ipongezen serekal Ila mtaani kwetu hamna duka hata moja Lina sukar
Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.

Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.

Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.

Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!

Kwa muda Miaka mitano ameshindwa kutatua tatizo la sukari ndio ataweza kuondoa umasikini! Haiwezekani.
 
Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.

Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.

Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.

Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!

Poleni wa Morogoro, foleni hii nilipanga mwaka 1980 waliokuwepo wanaijua kumbe imeanza kurudi kwenye nchi ya maziwa na asali, nawaza Kwa sauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
imefikia kilo elfu 4. mtaani haipatikani.

Morogoro wanunua kwa foleni.

huko ulipo hali ikoje!?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hali mbaya ,tambi tumegeuza makaroni sukari haipatikani kabisa.
 
Duh
Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.

Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.

Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.

Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!

golems

duh foleni kama bado tupo enzi za ukoloni
 
ukitaka utachukua usipotaka acha na sahivi kwenye haka ka kiosk kangu nimeipandisha bei sana napiga faida we acha tu hii ni neema
 
Tatizo la watanzania hawafuati maelezo ya viongozi wao mbona naibu waziri wa viwanda na biashara Stella Manyanya aliisema tutumie asali.

Sent using Jamii Forums mobile app
We mama hata nyumba yako itakua chafu sana. Manyanya ndio wa kukupa ushauri. Inaelekea hata kuvaa hujui wewe. Unajua bei ua asali au unajisemea tu? Mume wako atakua na tabu sana.
 
Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.

Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.

Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.

Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!

Jamaa yuko zake Chato anajifukiza hana habari yan
 
Kama chakula ni tatizo maendeleo ni ndoto likiisha la sukari utasikia mafuta hakuna tena daah..hatari kweli wakati Uganda na Swaziland wana sukari ya ziada hapa kwetu Kuna kitu kipo nyuma ya pazia kuhusu sukari sio bure...yanatengenezwa mazingira magumu ili wachache wapewe tenda walete wapige hela Sukari ipo ya kumwaga kwenye Nchi zote tubazopakana nazo na kipindi hiki ipo adimu bado hamtaki kulegeza masharti watu walete wauze Namanga,Kyela,Tunduma zipo za kumwaga na bei ni 2500 Tsh..
 
Kama sukar imepanda Bei moja ya sababu ni ili janga la Corona na mnailaum serekal Basi msiwe wanafk pia sababu ya janga ili ili la Corona mafuta yameshuka Bei pia ipongezen serekal Ila mtaani kwetu hamna duka hata moja Lina sukar

Sent using Jamii Forums mobile app
Madam mzalendo iq1. You seem to be long on rhetorics and zero on substance. My advise to you. Even a fish can avoid a lot of problems by simply closing its mouth.
 
uku Arusha nimepita kiwanda fulani juzi apa mjini kati nakuta foleni kubwa kweli tena asubui na mapema...nauliza naambiwa wanasubiri sukari...imefika hatua hata ile social distance tunayosemea hakuna tena watu wapo kwenye foleni wanawaza sukari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mchochezi, hao wanapewa
bure sukari na Mbunge wao, hongera sana Mh Mbunge kwa kuwajali wananchi wako..

Awamu ya tano inapiga kazi sana, pato la Mtanzania limekua na uchumi unakua kwa zaidi ya 7%.. Soon Watanzania kama wa hapo Moro wataanza kupanga foleni wakipewa bidhaa bure na Serikali yao..Tuchape kazi..

Hahahah we jamaa zamani nilikua sikuelewi ila siku hizi nimeshakusoma fresh,hahah.
 
Arusha kuna baadhi ya maeneo sukari kilo elf 7, kuna duka Jana niliulizia sukari arusha maeneo ya sanawari nikaambiwa elf 7 mpaka nikashangaa nikasema kulikon muuzaji akasema sukari ni adimu sana,nikazunguka maduka mengine kama manne hivi nikaambiwa hawana sukari.
 
Tatizo la watanzania hawafuati maelezo ya viongozi wao mbona naibu waziri wa viwanda na biashara Stella Manyanya aliisema tutumie asali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uzwazwa unafikiri asali imekuwa chumvi inapatikana kila kona,au unatuletea stori za nchi ya maziwa na asali. Acheni kufanya siasa kwenye zisizo na tija kwenye maisha ya watu
 
Back
Top Bottom