Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,025
- 2,261
Siyo ethical pia kugawa chakula bure mitaani. Watu wataacha kufanya kazi na kupanga foleni kupokea msaada? Devota Minja naye kesho atagawa sabuni na tambi za futari
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mchochezi, hao wanapewa
bure sukari na Mbunge wao, hongera sana Mh Mbunge kwa kuwajali wananchi wako..
Awamu ya tano inapiga kazi sana, pato la Mtanzania limekua na uchumi unakua kwa zaidi ya 7%.. Soon Watanzania kama wa hapo Moro wataanza kupanga foleni wakipewa bidhaa bure na Serikali yao..Tuchape kazi..
Sent using Jamii Forums mobile app