Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni



Na kweli hapo ni kwa abood....yalivyo matumbafu yatachgua tena ccm
 
Siku ya Ijumaa nikwenda sehemu moja hapa Tengeru ambayo inatoa huduma za vyakula, vinywaji na malazi lakini nilipoomba kupatiwa kahawa, niliambiwa hamna sukari kabisa. Nilishangaa kama sehemu kama ile inakosa sukari vipi kuhusu familia ya kawaida huko mtaani! Kweli tunakabiriwa na matatizo mengi, huko COVID19 mara huko sukari mara barakoa!
 
Tatizo la watanzania hawafuati maelezo ya viongozi wao mbona naibu waziri wa viwanda na biashara Stella Manyanya aliisema tutumie asali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lita moja ya sali hii hii iliyochakachuliwa ni elfo 11 kwa Dar. Watanzania wangapi wanaiweza bei hio? Utatumia asali kukandia maandazi? Utatumia asali kutengenezea juisi za matunda?
 
je,ukiificha kisha ikashuka bei inakuaje si ndo utakua umepata hasara mara 2
 
kwani kwani KABLA ya Ramadhani Raia hawanywi chai?...
 
Eti ninyi wataalamu wa uchumi tuelezeni Hii hali ya sasa watu kupanga foleni kununua sukari ndio tumefikia kilele cha ile Tanzania ya viwanda au Donor country tuliyo ambiwa?

Eti anadai alipoingia yeye alikuta Sukari ikiuzwa bei juu akafanikiwa kuishusha hahahaa mlioko huko ktk foleni tujuzeni ukweli wa commedy hii ya kiongozi wa malaika au chaguo la mungu wa Madagascar.

Hello our fellow Kenyan's, are you still wanting leadership exchange with donor country? We will give you him, Libashitel, and Kabudege in advance. Just give us Uhuru inatosha.

Nipo huku Kisiwani Lubondo kama unaswali niulize.

Maendeleo hayanaga vyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya awamu ya tano ilishafeli kitambo kwenye bei elekezi labda wamefaulu kwenye nishat ya mafuta tu kwa kuwa kuna mamlaka ya kudhibit Ewura ambayo ipo kisheria na iliundwa na awamu zilizopita.Ubabe hausaidii Kama huwashirikish wadau.Niwakumbushen tu bei elekez zilizoiaibisha awamu hii ni bei za korosho,ufuta,pamba,kahawa,mbaazi na Sasa bei elekez ya sukari.Tangu awamu hii ianze sukar imekuwa tatixo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mahitaji ya sukari kwa mwaka yakoje?Uwezo wa ndani wa kuzalisha sukari ukoje?Kaisi gani tunahitaji kuagiza toka nje??Yaani maswali haya rahisi tu tunashindwa kuyasolve?? Hadi sukari kilo moja inauzwa 5k?Tena inapatikana kwa taabu kweli kweli wengine hadi wananunua kwa foleni

 
Zanzibar kuna kiwanda kikubwa cha sukari sijui kwanini wasiruhusu iletwe huku bara....

Kiroba cha sukari kilikuwa kinauzwa elfu hamsimi na sita kama sikosei lakini sasa imepanda hadi kufikia elfu 96
Utaambiwa ni sukari ya Magendo kuyoka nje ya nchi.
Hadi muda huu Zanzibar bei ya sukari ni 1700 kwa kilo moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank god its just sugar! Sukari mara nyingi inakuwa abused katika matumizi na kwa maana hiyo husababisha maradhi badala ya manufaa mwilini.
 
Hivi mahitaji ya sukari kwa mwaka yakoje?Uwezo wa ndani wa kuzalisha sukari ukoje?Kaisi gani tunahitaji kuagiza toka nje??Yaani maswali haya rahisi tu tunashindwa kuyasolve?? Hadi sukari kilo moja inauzwa 5k?Tena inapatikana kwa taabu kweli kweli wengine hadi wananunua kwa foleni

View attachment 1445773
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…