Eti ninyi wataalamu wa uchumi tuelezeni Hii hali ya sasa watu kupanga foleni kununua sukari ndio tumefikia kilele cha ile Tanzania ya viwanda au Donor country tuliyo ambiwa?
Eti anadai alipoingia yeye alikuta Sukari ikiuzwa bei juu akafanikiwa kuishusha hahahaa mlioko huko ktk foleni tujuzeni ukweli wa commedy hii ya kiongozi wa malaika au chaguo la mungu wa Madagascar.
Hello our fellow Kenyan's, are you still wanting leadership exchange with donor country? We will give you him, Libashitel, and Kabudege in advance. Just give us Uhuru inatosha.
Nipo huku Kisiwani Lubondo kama unaswali niulize.
Maendeleo hayanaga vyama.
Sent using
Jamii Forums mobile app