Hata bank watu wanapanga foleni!Hivi mahitaji ya sukari kwa mwaka yakoje?Uwezo wa ndani wa kuzalisha sukari ukoje?Kaisi gani tunahitaji kuagiza toka nje??Yaani maswali haya rahisi tu tunashindwa kuyasolve?? Hadi sukari kilo moja inauzwa 5k?Tena inapatikana kwa taabu kweli kweli wengine hadi wananunua kwa foleni
View attachment 1445773
Asali Lita moja Bei gani?uko hapo kusubiri kauli za Hawa waliofail?Tatizo la watanzania hawafuati maelezo ya viongozi wao mbona naibu waziri wa viwanda na biashara Stella Manyanya aliisema tutumie asali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, Nakuibia siri [emoji23][emoji23][emoji23] "Tumia miwa" [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Najiona nikikoroga chai kwa ndizi mbivu. Au nikichemsha coca au pepsi.
Unaijua bei ya asali weweTatizo la watanzania hawafuati maelezo ya viongozi wao mbona naibu waziri wa viwanda na biashara Stella Manyanya aliisema tutumie asali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyeharibu soko la sukari Ni Nani?Hili la sukari nalo mpaka Rais alisemee kweli,,? Sukari tu
Poleni sana, haya ndio matatizo ya kujaribu kuomba uongozi halafu wenzio wakakusukumiziamo humo humo ndani kumbe hukuwa na agenda. Unaanza kuzima bunge live, unazuia watu wasifanye Siasa huku Sukari haionekani. Mara unaamua kukimbia kasri lako na kuwa kama Joseph Konyi.Nipo Chalinze huku sukari ni adimu wiki ya pili sasa.
Huu mwaka huu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafisadi yanayohujumu yajiandae