Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

Najiona nikikoroga chai kwa ndizi mbivu. Au nikichemsha coca au pepsi.
Mkuu, Nakuibia siri [emoji23][emoji23][emoji23] "Tumia miwa" [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SiHasa....
SiAsa...
SiYasa...
Moja kati ya hayo ni sahihi..
Au yote ni sahihi...
Au hakuna jibu sahihi...

Everyday is Saturday......................... 😎
 
Nipo Chalinze huku sukari ni adimu wiki ya pili sasa.
Huu mwaka huu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana, haya ndio matatizo ya kujaribu kuomba uongozi halafu wenzio wakakusukumiziamo humo humo ndani kumbe hukuwa na agenda. Unaanza kuzima bunge live, unazuia watu wasifanye Siasa huku Sukari haionekani. Mara unaamua kukimbia kasri lako na kuwa kama Joseph Konyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutawaongezea na yule mkuu wa lijengo pale makao makuu buree kabisa
 
Anasema alipoingia madarakani sukari ilikuwa Tsh. 5000.
Nafikiri sasa bei imeshuka, si mnajua tena watu wanajitahidi kwenda na spidi ya awamu ya 5.
Wanaopanga foleni kununua sukari ni wale waliokuwa wapiga 'diri'
 
Back
Top Bottom