Lignocaine
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 290
- 738
Chadema ipogo tuu hata mukimbie ikulu zooteee mtaikuta tuu. Chadema ndio imewazuia msizalishe sukari? Ndio maana tunawaeleza ccm hamna Agenda. Wanainchi tumejua mnaigopa Chadema kuliko corona na tutahakikisha Chadema inaendelea kuwepo na ninyi utopolo mnafia mbali huko.Huu uongo wa Chadema mwisho wao ni October
Mafisadi yajiandae
serikali zote zilizoshindwa zilipitia hatua hiiHivi mahitaji ya sukari kwa mwaka yakoje?Uwezo wa ndani wa kuzalisha sukari ukoje?Kaisi gani tunahitaji kuagiza toka nje??Yaani maswali haya rahisi tu tunashindwa kuyasolve?? Hadi sukari kilo moja inauzwa 5k?Tena inapatikana kwa taabu kweli kweli wengine hadi wananunua kwa foleni
View attachment 1445773View attachment 1445779View attachment 1445780View attachment 1445779View attachment 1445780
Huu uongo wa Chadema mwisho wao ni October
Eti ninyi wataalamu wa uchumi tuelezeni Hii hali ya sasa watu kupanga foleni kununua sukari ndio tumefikia kilele cha ile Tanzania ya viwanda au Donor country tuliyo ambiwa?
Eti anadai alipoingia yeye alikuta Sukari ikiuzwa bei juu akafanikiwa kuishusha hahahaa mlioko huko ktk foleni tujuzeni ukweli wa commedy hii ya kiongozi wa malaika au chaguo la mungu wa Madagascar.
Hello our fellow Kenyan's, are you still wanting leadership exchange with donor country? We will give you him, Libashitel, and Kabudege in advance. Just give us Uhuru inatosha.
Nipo huku Kisiwani Lubondo kama unaswali niulize.
Maendeleo hayanaga vyama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli HAKUNA analoliweza katika uongozi wake..
Kwani sisi tuna lockdown, yani kweli utetezi mwingine muwe mnaona aibuHiyo ni effect ya lockdown. Na wala si Tanzania hata nchi zingine watu hawaruhusiwi kununua zaidi ya packt 2 ya maziwa ama sukari tena in heart of europe.
Siyo ethical pia kugawa chakula bure mitaani. Watu wataacha kufanya kazi na kupanga foleni kupokea msaada? Devota Minja naye kesho atagawa sabuni na tambi za futari
Sent using Jamii Forums mobile app