Tazama hali ya Barabara za masaki 2024! Ni aibu ya nchi

Hii mbona nzuri kuna barabara moja ya Tabata Kimanga hua nainyooshea mikono kama gari yako ya chini lazima uumie moyo.
 
Wanafuata mumbo. Uongo mtupu. Barabara mbovu Masaki ni sehemu ndogo ya Chole road karibu na IsT. Halafu ile ya Slipway to Yatch club nqpo ni less than 200m ndio mbovu, ambayo imeharibiwa na malori ya lake oil kuna ujemzi wa mall kubwa. Barabara nyingine zote kuu zina lami nzuri kabisa na mitaa michache ambayo haina lami kama mutaa mingine tu Dar.
Haile sealassie kipande kibovu kiko Oysterbay na sio kibovu ila kina viraka,barabara ya zamank tangu niko shule ya msingi zaidi ya 30yrs ago haijawahi kutengenezwa.
Ngoja nikutajie barabara mbovu za masaki.

Pale masaki mwisho karibu na paparotti kuna bwawa kabisa na panajaa maji kila mvua ikinyesha.

Dimbwi kubwa lingine ni pale Fitness ( wanatengeneza kila siku ila mvua moja tu kynarudi kule kule)

Kimweri Avenue yote ( hapa ingawa ni msasani lakini pia ni barabara ya kuelekea masaki) kuanzia Fitness hadi namanga barabara inamadimwi, matuta, na viraka kila mahali.

Chole road kuanzia backresa hadi paparotti Barabara ni mbovu kupindukia na kuna either kiraka au shimo kubwa

Barabara kutoka fishmonger mpaka bakhresa.

Mwaya street karibu na gallivanters hostel...

Na nyingine nyingi. Nyingine hazinaga lami kabisa
 
Hizi ni baadhi ya barabara chache za mitaa ya ndani ndani. Japo licha ya hivyo ila hazistahili kua hivyo kwa hadhi ya Masaki ilivyo
Haile selasie ni barabara ya mitaa? Mkuu labda unatania

Kimweri Avenue ni barabara ya mitaa?

Chole road?

Tena baadhi ya Barabara za mitaa hazina lami kabisa
 
Hata kama barabara ni mbovu lakini ni sehemu aghali sana kuishi kuliko sehemu yoyote Tanzania. Kwanza hiko pembezoni kabisa na usafiri wa umma (daladala). Ukitaka kwenda huko lazima uwe na usafiri wako au tembea kwa mguu!
Tena kama hujui Masaki kuna Daladala route kibao tu. Daladala za masaki ni mbovu na zimeezeeka hasa zile za simu2000 na kariakoo....
Makonda karibu wote ni wachafu na hawajali.

Pia asubuhi na jioni zinajaza sana kupita kiasi hadi kuninginiza mguu
 
Juzi nilikua naongea na jamaa mmoja anaishi Goba mpakani manjspaa ya Ubungo anasema barabara waliahidiwa itajengwa na mradi wa vank ya dunia mwez wa 6. Lkn za ndaaaaani kabisa anasema kuna wajanja wamepiga hela na mradi umepepea

Sasa ndiyo uandike vibaya hivi?

Watu wa Goba Mpakani mna majungu sana.
 
Tena kama hujui Masaki kuna Daladala route kibao tu. Daladala za masaki ni mbovu na zimeezeeka hasa zile za simu2000 na kariakoo....
Makonda karibu wote ni wachafu na hawajali.

Pia asubuhi na jioni zinajaza sana kupita kiasi hadi kuninginiza mguu

Panda bajaji
 
Ngoja nikutajie barabara mbovu za masaki.

Pale masaki mwisho karibu na paparotti kuna bwawa kabisa na panajaa maji kila mvua ikinyesha.

Dimbwi kubwa lingine ni pale Fitness ( wanatengeneza kila siku ila mvua moja tu kynarudi kule kule)

Kimweri Avenue yote ( hapa ingawa ni msasani lakini pia ni barabara ya kuelekea masaki) kuanzia Fitness hadi namanga barabara inamadimwi, matuta, na viraka kila mahali.

Chole road kuanzia backresa hadi paparotti Barabara ni mbovu kupindukia na kuna either kiraka au shimo kubwa

Barabara kutoka fishmonger mpaka bakhresa.

Mwaya street karibu na gallivanters hostel...

Na nyingine nyingi. Nyingine hazinaga lami kabisa
Naona umetaja mashimo barabarani. Ni sehemu gani nchi hii hakuna mashino kwenye baadhi ya barabara? Mna exaggerate mambo. Masaki nina barabaara kuu zifuatazo
1. Haile Selassie
2.Toure Drive
3.Chole road
4.Mwaya road
5.Slipway road
Hizo zote zina lami, zimeharibika sehemu ndogo sana ambazo nimetaja hapo juu. Kuhusu barabara ambazo hazina lami nalo ni jambo la kushangaza hapa Tanzania? BTW barabara zenye lami Masaki ni nyingi kuliko zisozokuwa na lami. Mitaa mingi e vipi huku kwetu Uswazi kuna lami kila mahali? Why Masaki?
 
Tena kama hujui Masaki kuna Daladala route kibao tu. Daladala za masaki ni mbovu na zimeezeeka hasa zile za simu2000 na kariakoo....
Makonda karibu wote ni wachafu na hawajali.

Pia asubuhi na jioni zinajaza sana kupita kiasi hadi kuninginiza mguu
Wewe unapajua Masaki au unasimuliwa? Daladala route ni moja tu. Msasani zinaunga Chole road mpaka Masaki mwisho. Hio ni pembezoni ya Masaki haziingij katikati. Asubuhi zinajaa kuelekea Masaki zinaleta vibarua,jioni zinajaa kutoka Masaki zinarudisha vibarua majumbani kwao.
 
Naona umetaja mashimo barabarani. Ni sehemu gani nchi hii hakuna mashino kwenye baadhi ya barabara? Mna exaggerate mambo. Masaki nina barabaara kuu zifuatazo
1. Haile Selassie
2.Toure Drive
3.Chole road
4.Mwaya road
5.Slipway road
Hizo zote zina lami, zimeharibika sehemu ndogo sana ambazo nimetaja hapo juu. Kuhusu barabara ambazo hazina lami nalo ni jambo la kushangaza hapa Tanzania? BTW barabara zenye lami Masaki ni nyingi kuliko zisozokuwa na lami. Mitaa mingi e vipi huku kwetu Uswazi kuna lami kila mahali? Why Masaki?
Tukae kimya tu kwa sababu mashimo ni jambo la kawaida Tanzania?

Masaki kuna hotel nyingi, restaurants, cafes, offices kadhaa za zimataifa, balozi nk
Ni aibu sehemu yenye internationals na Diplomats wengi namna hiyo kuwa na barabara kuu mfano wa Haile selasie Road.

Kwan serikali haiwezi kuzijenga kama walivyojenga toure road?
Kwa nini unaionea huruma hii serikali? Uwezo wanao sema ndo hawajali
 
Nashangaa sana mnaonea huruma Masaki, hamuoni sehemu nyingine zenye hali mbaya zaidi? Goba huko vipi kuna lami? Mivumoni? Makabe? Maramba mawili? Au huko hakustahili barabara nzuri?
 
Wewe unapajua Masaki au unasimuliwa? Daladala route ni moja tu. Msasani zinaunga Chole road mpaka Masaki mwisho. Hio ni pembezoni ya Masaki haziingij katikati. Asubuhi zinajaa kuelekea Masaki zinaleta vibarua,jioni zinajaa kutoka Masaki zinarudisha vibarua majumbani kwao.
Sioni point unayobisha mkuu. Unarudia yale yale niliyoyasema.

Route za masaki ni kama ifuatavyo.
Masaki-Simu2000
Masaki-Gerezani
Masaki-chang'ombe
Masaki-kgsokoni (Gongo la Mboto)

Hizi route za masaki sio nyingi? Au wew umenielewaje
( Soma message niliyoreply labda utaelewa)

Ukiachana na Vibarua.
Masaki kuna ofisi nyingi tu siku hizi hadi baadhi ya Banks zina branch huko hivyo hadi wafanyakazi wasomi utumia Daladala kuelekea Masaki.
 
Ninachomaanisha zote hizo ziko restricted kupita Chole road mpaka Masaki mwisho. Haziingii popote nje ya Chole road.
Vibaruq I meant wafanyakazi wa aina zote.
 
Nashangaa sana mnaonea huruma Masaki, hamuoni sehemu nyingine zenye hali mbaya zaidi? Goba huko vipi kuna lami? Mivumoni? Makabe? Maramba mawili? Au huko hakustahili barabara nzuri?
Hio miji mipya. Sehemu nyingine hata hazijapimwa.

Masaki ni uzembe. Na ukizingazia companies/hotels/bureaudechange zilizo na base masaki. Zinachangia sana pato la Taifa
 
Aisee kwa shida za barabara mji au nchi hii Masaki ni heaven. Kuna sehemu zina shida na ndio zinatakiwa ziwe priority sio Masaki.
 
Ninachomaanisha zote hizo ziko restricted kupita Chole road mpaka Masaki mwisho. Haziingii popote nje ya Chole road.
Vibaruq I meant wafanyakazi wa aina zote.
Kwan Daladala zikiwa zinaelekea eg. bunju zinapita popote zaidi ya Bagamoyo Road?
Au zinazopita sinza si zinatumia route moja ya Shekilango road...

Wew point yako ni ipi hasa. Sio Daladala za masaki au?

Yaani RRONDO bwana...
 
Hizi ni baadhi ya barabara chache za mitaa ya ndani ndani. licha ya hivyo ila hazistahili kua hivyo kwa hadhi ya Masaki ilivyo
Huwezi ita masaki wakati barabara sawa na mbezi utofauti ni upi sasa. Wenzetu wamejipanga south Africa kitu cha kwanza miundombinu ya maji na umeme alafu barabara za lami ndio viwanja vianze kuuzwa, sasa bongo tunadanganywa viwanja vimepimwa hakuna miundombinu ya maji machafu, maji hakuna wala umeme hakuna.
 
Back
Top Bottom