king Kong master
Member
- Oct 19, 2020
- 14
- 7
Ni matumaini wahusika wataifanyia kazi...Wakuu salaam kwenu,
Nimeiona hii video imenisikitisha kwakweli. Daah kuna watoto wanasoma kwenye mazingira mabaya sana. Tazama hiyo video chini inaonesha hali ya mazingira ya darasa mojawapo linalopatikana katika Shule ya Msingi Bushekya iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba kata ya Mobunda. Hili ni jengo la Darasa la sita.
View attachment 1685121