Tazama hali ya Darasa la Shule ya Msingi Bushekya iliyopo Halmashauri ya Muleba

Tazama hali ya Darasa la Shule ya Msingi Bushekya iliyopo Halmashauri ya Muleba

Wakuu salaam kwenu,

Nimeiona hii video imenisikitisha kwakweli. Daah kuna watoto wanasoma kwenye mazingira mabaya sana. Tazama hiyo video chini inaonesha hali ya mazingira ya darasa mojawapo linalopatikana katika Shule ya Msingi Bushekya iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba kata ya Mobunda. Hili ni jengo la Darasa la sita.

View attachment 1685121
Mbona shule z a hivyo TZ ni nyingi tu
 
Mitano tena, wapinzani tuliwachelewesha. Sasa wapo wenyewe CCM Mpya, shule zote zitakuwa za standard moja kufuatana, miongozo na matarajio ya wizara ya TAMISEMI iliyo chini ya Ofisi ya Rais kuwa shule ziwe bora kuliko stendi mpya za mabasi na masoko ya kisasa yaliyojengwa kila mkoa.
 
Back
Top Bottom