king Kong master
Member
- Oct 19, 2020
- 14
- 7
Ni matumaini wahusika wataifanyia kazi...Wakuu salaam kwenu,
Nimeiona hii video imenisikitisha kwakweli. Daah kuna watoto wanasoma kwenye mazingira mabaya sana. Tazama hiyo video chini inaonesha hali ya mazingira ya darasa mojawapo linalopatikana katika Shule ya Msingi Bushekya iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba kata ya Mobunda. Hili ni jengo la Darasa la sita.
View attachment 1685121
Sio pesa ya kununua bandoUkweli hautakiwi awamu hii jiandae uhujumu uchumi unakuhusu.
Unapost tu unayo pesa ya kununua uhuru wako?
Kesho itamwona Silinde anasimamisha watu kazi huko.
Wakuu salaam kwenu,
Nimeiona hii video imenisikitisha kwakweli. Daah kuna watoto wanasoma kwenye mazingira mabaya sana. Tazama hiyo video chini inaonesha hali ya mazingira ya darasa mojawapo linalopatikana katika Shule ya Msingi Bushekya iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba kata ya Mobunda. Hili ni jengo la Darasa la sita.
View attachment 1685121
Sio pesa ya kununua
Pesa Ili ushahidi ukamilike kwa harakaSio pesa ya kununua bando
Natoa WITO kila mwenye shule mbovu wilayani mwake atuwekee hapa.
Shule hiyo ni mojawapo tu kati ya shule lukuki za serikali zilizochakaa kupindukia.Wakuu salaam kwenu,
Nimeiona hii video imenisikitisha kwakweli. Daah kuna watoto wanasoma kwenye mazingira mabaya sana. Tazama hiyo video chini inaonesha hali ya mazingira ya darasa mojawapo linalopatikana katika Shule ya Msingi Bushekya iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba kata ya Mobunda. Hili ni jengo la Darasa la sita.
View attachment 1685121
Wapinzani mmetuchelewesha sanaWakuu salaam kwenu,
Nimeiona hii video imenisikitisha kwakweli. Daah kuna watoto wanasoma kwenye mazingira mabaya sana. Tazama hiyo video chini inaonesha hali ya mazingira ya darasa mojawapo linalopatikana katika Shule ya Msingi Bushekya iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba kata ya Mobunda. Hili ni jengo la Darasa la sita.
View attachment 1685121
MITANO tena 🤣🤣🤣Wakuu salaam kwenu,
Nimeiona hii video imenisikitisha kwakweli. Daah kuna watoto wanasoma kwenye mazingira mabaya sana. Tazama hiyo video chini inaonesha hali ya mazingira ya darasa mojawapo linalopatikana katika Shule ya Msingi Bushekya iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba kata ya Mobunda. Hili ni jengo la Darasa la sita.
View attachment 1685121
Watulie dawa iwaingie vizuriWana milioni kadhaa kama vijisent vya mboga
Nani anayemjua?Ukweli hautakiwi awamu hii jiandae uhujumu uchumi unakuhusu.