Mitano tena, wapinzani tuliwachelewesha. Sasa wapo wenyewe CCM Mpya, shule zote zitakuwa za standard moja kufuatana, miongozo na matarajio ya wizara ya TAMISEMI iliyo chini ya Ofisi ya Rais kuwa shule ziwe bora kuliko stendi mpya za mabasi na masoko ya kisasa yaliyojengwa kila mkoa.