stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
jamaa mzigo upoJamaa hataki upumbavu, Fance kwanza mjengo unapanda taratibu.
Anazuia migogoro ya ardhi na majirani.Jamaa hataki upumbavu, Fance kwanza mjengo unapanda taratibu.
Naam,hataki mchezo.Jamaa hataki upumbavu, Fance kwanza mjengo unapanda taratibu.
Hii nyumba ni kubwa.Kwa kazi za kujenga nyumba za kisasa nitafute 0743 257 669
napatikana Dsm.
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala
1 master
2 self
seble
jiko
dinning
jiko
store
prayer room
View attachment 3588564
udongo ni mfinyanziHuo udongo ni wa aina gani. Je, points zako za ujenzi wa msingi imara ulizizingatia hapo?.
Safi, next projects uje kwa hatua. Kuanzia soil test, ku-set msingi, mambo ya footings n.k especially kwenye maeneo nyeti kama hayo.udongo ni mfinyanzi
nazingatia kila hatua
Kule pamejichimbia utadhani hakuna makazi. Mji mzuri sana ule, Kisarawe ya ushuani.Makurunge upande gani mkuu, Nina project hapo kwa mosha barabara ya maua daftari, msingi nimemaliza mwaka jana najipanga na ukuta