Negemu
Senior Member
- Dec 26, 2017
- 142
- 142
Saana ndani ya miaka 7 iyayo napaona kama gobaKule pamejichimbia utadhani hakuna makazi. Mji mzuri sana ule, Kisarawe ya ushuani.
Saana ndani ya miaka 7 iyayo napaona kama gobaKule pamejichimbia utadhani hakuna makazi. Mji mzuri sana ule, Kisarawe ya ushuani.
hapa kwenye shule ya masistaMakurunge upande gani mkuu, Nina project hapo kwa mosha barabara ya maua daftari, msingi nimemaliza mwaka jana najipanga na ukuta
Mwaka 2008 Mama yangu mdogo alikuwa na heka 30 hapo Makurunge karibu na kwa Mpata Ng'oo ,I believe kama alikuwa hajauza sasa hivi atakuwa tajiri sana.Hapo ni makurunge opposite na Shule ya Masister
Itakuwa aliwauzia wale wenye makampuni ya kukata viwanja. Maeneo hayo saizi kumejengwa sana nyumbaMwaka 2008 Mama yangu mdogo alikuwa na heka 30 hapo Makurunge karibu na kwa Mpata Ng'oo ,I believe kama alikuwa hajauza sasa hivi atakuwa tajiri sana.
Tulikuwa tunapiga mguu kutoka kiluvya madukani hadi Makurunge kwenda kulima huko,dah ilikuwa ni hatari sana.
ebwana bonge la mjengo...hapo msingi tuu si 30mil inaondoka ama vipiKwa kazi za kujenga nyumba za kisasa nitafute 0743 257 669
napatikana Dsm.
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala
1 master
2 self
seble
jiko
dinning
jiko
store
prayer room
View attachment 3588564
Na sisi( mimi na kaka yangu) tumemjengea mama yetu huko pazuri sana katuliaKule pamejichimbia utadhani hakuna makazi. Mji mzuri sana ule, Kisarawe ya ushuani.
Safi sana. Kule ata-enjoy sana na ataimarika kimwili na akili sababu ya utulivu.Na sisi( mimi na kaka yangu) tumemjengea mama yetu huko pazuri sana katulia