Tazama hii nyumba tunaijenga Kiluvya Madukani May 2026

udongo ni mfinyanzi
nazingatia kila hatua
Safi, next projects uje kwa hatua. Kuanzia soil test, ku-set msingi, mambo ya footings n.k especially kwenye maeneo nyeti kama hayo.

Hii project ya sasa natazamia ni kwa namna gani utarusha karata kitaalamu kwenye hatua ya back fillings na mbinu za kuzuia maji yasi-absorb kwenye msingi.
 
Makurunge upande gani mkuu, Nina project hapo kwa mosha barabara ya maua daftari, msingi nimemaliza mwaka jana najipanga na ukuta
 
Makurunge upande gani mkuu, Nina project hapo kwa mosha barabara ya maua daftari, msingi nimemaliza mwaka jana najipanga na ukuta
Kule pamejichimbia utadhani hakuna makazi. Mji mzuri sana ule, Kisarawe ya ushuani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…