Tazama hii nyumba tunaijenga Kiluvya Madukani May 2026

Makurunge mwaka 2005 nilinunua heka 5 karibu na shule ya msingi nikauza niliona ni chaka nikaja nunua hapa katibu na mzee Fambo sq 1200 kwa laki 4 tu yaani viwanja 3/1. Kwa wataalam fence ya sqm 3200 unaweza tumia tofali ngapi?
 
Itakuwa aliwauzia wale wenye makampuni ya kukata viwanja. Maeneo hayo saizi kumejengwa sana nyumba
 
Mchawi lami tu kutoka kiluvya madukani hadi kwa masister, maana ikinyesha mvua ule udongo wa mfinyanzi unateleza sana na usafiri wa daladala ungerahisisha sana, otherwise ni bonge la mji,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…