Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,627
Eti maendeleo ya vitu! Tumbafu kabisa apige mbizi tu.Kwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na kivuko kikatoka Ukerewe (Na tuliambiwa kuwa ni kibovu)...
Wananchi. Wanashuka wanapita ila magari ndiyo hayapiti wananchi wanafurahia tuMay it was true hiki kivuko kimeharibika or not.
Lakini angalia haya madhara anayaleta kwa CCM au kwa wananchi wasio na hatia ambao may be waliplan kumchagua october 28th. Hapa ndipo kosa lilipoanzia.
Ila angetumia hiki anachokiami kutushawishi kuwa hii serikali ina mambo hayo ambayo anayaamini lakini sio kututesa wananchi.
This guy is not Smart et all.
Wewe ndiye mkubwaSubiri uone kitakachotokea hapo! Usifikiri Lisu ni mkubwa sana hapa nchini
Ameshindwa kuaply maendeleo ya watu hapo?🤏🤏 waswahili wanasema utakula ulikopeleka kuni. Hakuna cha Amsterdam wala nani...Lissu mwache aende zake. ✊🏽✊🏽✊🏽
Kwa hiyo ahalalishe kisasi kwa wapiga kura, busara gani hiyo? Kuingia Chato pia aliagiza barabara kufungwa!Lissu avumilie mangapi.
1. Amepigwa bunduki hakuna hatua yoyote
2. Amenyimwa matibabu...
Hii inanikumbusha kisa Cha Daudi na Goliath,na Kati ya Daudi na mfalme Sauli.Kwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na kivuko kikatoka Ukerewe (Na tuliambiwa kuwa ni kibovu)...
Kwa kupanda mtumbwi ameongeza jambo jipya katika historia ya maisha yake.
Basi acha kuwashwa kaa kwa kutulia Mme wenu Lisundo keshafanya hayo na chakufanya huna.Kwani mimi ndio manager kwenye icho kivuko.
Kwann kiwe kibovu kwa ajili yakeNa hao watu wakiamua wawe Kama yeye unajua Nini kitatokea kwenye hayo Magari.Halafu eti huyu ndiye anaomba awe Rais, wakati vitu vidogo Kama hivi anashindwa kuonyesha uvumilivu wake na Busara zake.
Yule aliyewakataza watendaji wa kivuko wasimpakie Lisu ili wamzuie ashindwe kwenda ukerewe wao walikuwa wanamkomoa naniHivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Walidhani ana mawazo ya kijima Kama wao,wao walidai kivuko kibovu sasa Kama kibovu si kiendelee kuparkWatu walio kwenye msafara wa Lissu ni akili kubwa aisee.
Watulie tu Hadi arudi wao si walimwaga mbogaHakuna break down huko?
Anazidi kutengeneza chuki kwa watu.
Tusiendelee na ratiba zetu kisa mtu mmoja na interest zake?
Haiingii akilini.
Police au askari wakiamua kuvunja vioo vya magari na kuamua ku unlock hizo gari then wa park pembeni ili shughuli ziendelee kawaida utasikia poliCCM au askaliCCM.Kumbe wanayataka wenyewe.
Hii ni aibu kwa msafara unaoongozwa mwanasheria kublock public way[emoji615].
Nakiri kusema jeshi la polisi wanatakiwa kuwa na busara sana katika wakati huu. but wakiaamua kutumia sheria Lissu anaenda kukiponza chama cha chadema pakubwa sana na hata kufutwa kabisa.