Uchaguzi 2020 Tazama hii video ya kivuko alichozuiwa kupanda ndugu Tundu Lissu kwa madai kuwa ni kibovu kikiwa Mwibara kisha soma ufafanuzi wa yaliyotokea

Uchaguzi 2020 Tazama hii video ya kivuko alichozuiwa kupanda ndugu Tundu Lissu kwa madai kuwa ni kibovu kikiwa Mwibara kisha soma ufafanuzi wa yaliyotokea

Kwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na kivuko kikatoka Ukerewe (Na tuliambiwa kuwa ni kibovu)...
Eti maendeleo ya vitu! Tumbafu kabisa apige mbizi tu.
 
May it was true hiki kivuko kimeharibika or not.

Lakini angalia haya madhara anayaleta kwa CCM au kwa wananchi wasio na hatia ambao may be waliplan kumchagua october 28th. Hapa ndipo kosa lilipoanzia.

Ila angetumia hiki anachokiami kutushawishi kuwa hii serikali ina mambo hayo ambayo anayaamini lakini sio kututesa wananchi.

This guy is not Smart et all.
Wananchi. Wanashuka wanapita ila magari ndiyo hayapiti wananchi wanafurahia tu
 
Lissu avumilie mangapi.
1. Amepigwa bunduki hakuna hatua yoyote
2. Amenyimwa matibabu...
Kwa hiyo ahalalishe kisasi kwa wapiga kura, busara gani hiyo? Kuingia Chato pia aliagiza barabara kufungwa!

Kuna maisha baada ya uchaguzi. Atafute njia ya kusepa. Hapelekwi huko anakodai kuwapeleka viongozi wa Tume, atakubanwa hapa hapa.
 
Kwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na kivuko kikatoka Ukerewe (Na tuliambiwa kuwa ni kibovu)...
Hii inanikumbusha kisa Cha Daudi na Goliath,na Kati ya Daudi na mfalme Sauli.
 
Tunasema wameumbuka huwezi ukashindana na mtu aliyekuzidi mawazo
 
Na hao watu wakiamua wawe Kama yeye unajua Nini kitatokea kwenye hayo Magari.Halafu eti huyu ndiye anaomba awe Rais, wakati vitu vidogo Kama hivi anashindwa kuonyesha uvumilivu wake na Busara zake.
Kwann kiwe kibovu kwa ajili yake
 
Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Yule aliyewakataza watendaji wa kivuko wasimpakie Lisu ili wamzuie ashindwe kwenda ukerewe wao walikuwa wanamkomoa nani
 
Nimesoma lakini hata sielewi, Magari ya Lisu ndio yameuia njia wengine wapite wapi?.
 
Anazidi kutengeneza chuki kwa watu.

Tusiendelee na ratiba zetu kisa mtu mmoja na interest zake?

Haiingii akilini.

Police au askari wakiamua kuvunja vioo vya magari na kuamua ku unlock hizo gari then wa park pembeni ili shughuli ziendelee kawaida utasikia poliCCM au askaliCCM.Kumbe wanayataka wenyewe.

Hii ni aibu kwa msafara unaoongozwa mwanasheria kublock public way[emoji615].

Nakiri kusema jeshi la polisi wanatakiwa kuwa na busara sana katika wakati huu. but wakiaamua kutumia sheria Lissu anaenda kukiponza chama cha chadema pakubwa sana na hata kufutwa kabisa.

Unavuta ugoro wa mavi ya panya wewe! Kwa walidanganya kua kivuko ni kibovu tuanzie hapo kwanza!
 
Back
Top Bottom