Uchaguzi 2020 Tazama hii video ya kivuko alichozuiwa kupanda ndugu Tundu Lissu kwa madai kuwa ni kibovu kikiwa Mwibara kisha soma ufafanuzi wa yaliyotokea

Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Kama huelewi kaa kimya. Lissu alielezwa ipasavyo kupaki magari yote ya msafara. Tatizo waliosema kivuko kibovu hawakuwashrikisha wale waongozaji ambao waliamini ni kibovu kweli ndio maana wakayaruhusu magari kupaki Kwa siku hiyo kwani hakuna kivuko. Mungu kawaumbua. Lissu akienda ukerewe kivuko kikaondoka ukerewe kwenda mwibara, hicho kibovu ujue kufika Hamna pa kushusha mizigo kutokana na uongo wao.
 
Kwanini Lisdu afunge njia?? Haoni kuwa anawakwamisha watu! Inawezekana kweli kivuko kilikuwa kibovu lakini kimetengamaa baada ya kutengenezwa
Wacha kujitia wenda wazimu hivi kweli tunafikiriaga basi tuaandika tu hebu Mungu akutangulie kwanza
 
We we ndio huelewi magari ya msafara wa Lisu kwenye kivuko madereva hawapo hivyo wmeblock magari mengine kushuka kweye kivuko
Nani alisababisha wapande mtumbwi na kuacha magari hapo ilhali kivuko hakikuwa na tatizo?
 
Lissu anaenda lini songea? Sijasikia ratiba ya ruvuma.
 
Hivi unafikiri state house Kuna mtu bssi bipolar disorder ni ugonjwa mbaya sana .
 
Ndio nakwambia hivi hao watanzania wangekuwa na chuki kweli basi wasingejazana kwenye mikutano ya ccm hata kama kuna wasanii,ni wazi hiyo chuki haijawaingia kisawa sawa au hawajielewi ndio maana kotekote wanajazana tu.
Mtz ndie mtu wawezapata popote umuhitajipo
 
Kwanini Lisdu afunge njia?? Haoni kuwa anawakwamisha watu! Inawezekana kweli kivuko kilikuwa kibovu lakini kimetengamaa baada ya kutengenezwa
Aliambiwa akiponi siku hiyo, hivyo eneo hilo likawa ni super parking.
 
Lissu kaamua kuwakomoa wananchi. Yaani unafungia njia wapiga kura. Huyu mtu hatari sana. Nitafika hapo Kisorya niwatie moyo wananchi kwamba Magufuli yupo nao.
 
Mimi nadhani angeambiwa wazi kabisa kwamba kivuko hakiko tayari kukuvusha kwa sababu ni maendeleo ya vitu hayana manufaa kwa watu. Ili ajifunze kuheshimu miundombinu ya watanzania.
 
Kwanini Lisdu afunge njia?? Haoni kuwa anawakwamisha watu! Inawezekana kweli kivuko kilikuwa kibovu lakini kimetengamaa baada ya kutengenezwa
Huna akili, yaani kivuko kikimuona Lissu ndio kinakuwa kibovu, akiondoka kinapona.
 
Mimi sijaelewa point yako ni nini, mtoa mada tulia uandike vizuri, nina uhakika una Mbs za kutosha
 
Mtz ndie mtu wawezapata popote umuhitajipo
Basi ndio maana wanapatikana pia kwenye mikutano ya Lissu hivyo si ajabu ila kinachoshangaza ni kupatikana kwenye mikutano ya CCM wakati wanaichukia CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…