Uchaguzi 2020 Tazama hii video ya kivuko alichozuiwa kupanda ndugu Tundu Lissu kwa madai kuwa ni kibovu kikiwa Mwibara kisha soma ufafanuzi wa yaliyotokea

Uchaguzi 2020 Tazama hii video ya kivuko alichozuiwa kupanda ndugu Tundu Lissu kwa madai kuwa ni kibovu kikiwa Mwibara kisha soma ufafanuzi wa yaliyotokea

Ni ulize Swali Hivi Kivuko ni Cha CCM, serikali au mtu Binafsi. Kwa nini roho Mbaya CCM wanafanya. Hivi Mgemwacha akapanda Kivuko na kwenda kuonana na watanzania wenzake ndo mngepungukiwa nini. Ijulika Fujo za Nchi Hii Chanzo itakuwa CCM...Mungu anawaona CCM. Yaani Chuki, Visasi, uonevu na kila aina ya dhuruma ni CCM,,,Daaa!!!
 
Anazidi kutengeneza chuki kwa watu.

Tusiendelee na ratiba zetu kisa mtu mmoja na interest zake?

Haiingii akilini.

Police au askari wakiamua kuvunja vioo vya magari na kuamua ku unlock hizo gari then wa park pembeni ili shughuli ziendelee kawaida utasikia poliCCM au askaliCCM.Kumbe wanayataka wenyewe.

Hii ni aibu kwa msafara unaoongozwa mwanasheria kublock public way⚠.

Nakiri kusema jeshi la polisi wanatakiwa kuwa na busara sana katika wakati huu. but wakiaamua kutumia sheria Lissu anaenda kukiponza chama cha chadema pakubwa sana na hata kufutwa kabisa.
 
Lakini uongo wao wa kivuko kibovu umeanikwa hadharani. Huu ubaguzi wa kutisha unaofanywa na huyo anayejiita MWENDAWAZIMU unaleta chuki za kutisha nchini na kuharibu kabisa mshikamano wa miaka mingi. Ni ushahidi tosha kwamba ukisikia mtu anajiita KICHAA basi muamini na usimpe uongozi wa mahali popote pale kwani ATAVURUNDA TU!
Hayo magari mmh Lazima faini iwatoke hapo.
 
Kwa mawazo yangu,naona kama timu ya Lissu imekosea. Mwisho wa siku atakayepata tatizo si Magufuli wala CCM ni wananchi watumiaji wa hicho kivuko. Nakiri kafanyiwa roho mbaya tu ila sidhani kama anapaswa kuwa sehemu ya mkwamo kwa wananchi wengine. Mwisho wa cku kura yangu ATL kura yangu anayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hao watu wakiamua wawe Kama yeye unajua Nini kitatokea kwenye hayo Magari. Halafu eti huyu ndiye anaomba awe Rais, wakati vitu vidogo Kama hivi anashindwa kuonyesha uvumilivu wake na Busara zake.
Lissu avumilie mangapi.
1. Amepigwa bunduki hakuna hatua yoyote
2. Amenyimwa matibabu
3. Amevuliwa ubunge
4. Anafungiwa kampeni
5. Anspigwa mawe.
Unataka avumilie hadi wamnyee mdomoni?
#SASA BASI#

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama akina Lisu waliambiwa kibovu ikitakiwa washushe magari yao.Kwa nini waliyaacha kwenye ferry? Inahoonekana yalipoingia magari wao wkasepa kutafuta kick vyombo vya habari

Tuashukuru vyombo vingi vya habari kugoma kurusha kick zao feki
 
Subir na mabasi yalio kwenye kivuko yazibe NJIA mpaka pale Tundulisu atapo rud kutaka kuondoka akute na yeye Madereva hawapo aanze kuombwa kupigwa mabom
 
Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Kulikuwa na haja gani ya kuzuia Lissu asipande kivuko? Hii ni mara ya pili Lissu anaambiwa kuwa kivuko ni kibovu.
 
Sasa kama akina Lisu waliambiwa kibovu ikitakiwa washushe magari yao.Kwa nini waliyaacha kwenye ferry? Inahoonekana yalipoingia magari wao wkasepa kutafuta kick vyombo vya habari

Tuashukuru vyombo vingi vya habari kugoma kurusha kick zao feki
Vyombo gani vya habari visirushe habari za lissu?
Labda tbccm na channel ten.
Dunia kiganjani kwako
 
Lissu arudi saa 12 jioni ili nao washinde pale

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Ni kulipia cost of loss wasipolipa magari yatashikiliwa hadi walipe au yatapigwa mnada na madalali wa mahakama.

Ila gharama watatakiwa kulipa si kwa wamiliki kivuko tu Bali na wenye magari binafsi waliokuwa blocked

Ofisi ya dereva yeyote ni kwenye gari hao madereva wa Lisu waliondokaje na kuachia ofisi zao au magari yao kwa kivuko? Wenye kivuko andaeni invoice haraka wakija tu hapo loss yote walipe na wenye magari binafsi blocked daini fidia
 
Wewe ni phaller tu.
Lissu avumilie mangapi.
1. Amepigwa bunduki hakuna hatua yoyote
2. Amenyimwa matibabu
3. Amevuliwa ubunge
4. Anafungiwa kampeni
5. Anspigwa mawe.
Unataka avumilie hadi wamnyee mdomoni?
#SASA BASI#

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo hao raia kwenye kivuko ndio waliompiga Risasi, ndio waliomfungia kampeni ndio wamempiga mawe na ndio wamemuvua ubunge.
 
Anazidi kutengeneza chuki kwa watu.

Tusiendelee na ratiba zetu kisa mtu mmoja na interest zake?

Haiingii akilini.

Police au askari wakiamua kuvunja vioo vya magari na kuamua ku unlock hizo gari then wa park pembeni ili shughuli ziendelee kawaida utasikia poliCCM au askaliCCM.Kumbe wanayataka wenyewe.

Hii ni aibu kwa msafara unaoongozwa mwanasheria kublock public way[emoji615].

Nakiri kusema jeshi la polisi wanatakiwa kuwa na busara sana katika wakati huu. but wakiaamua kutumia sheria Lissu anaenda kukiponza chama cha chadema pakubwa sana na hata kufutwa kabisa.
Unafikiri ni kwanini ccm na serikali yake isitumie busara kidogo tu kumtendea haki Lissu kuliko hivi wanavyomfanyia?
Kivuko ni mali ya mtu?
Kwanini kila wakati wamfanyie figisu?
Unafikiri Lissu avumilie hadi lini?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom