Ryaro wa Ryaro1233
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 353
- 885
Kifo kilimshindwa wa Ukerewe watamzuia kitu gani?Lissu mwache aende zake. [emoji1421][emoji1421][emoji1421]
Hayo magari mmh Lazima faini iwatoke hapo.
Lissu avumilie mangapi.Na hao watu wakiamua wawe Kama yeye unajua Nini kitatokea kwenye hayo Magari. Halafu eti huyu ndiye anaomba awe Rais, wakati vitu vidogo Kama hivi anashindwa kuonyesha uvumilivu wake na Busara zake.
Nani kasema kuna mtu anatakiwa kukomolewa?Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Kulikuwa na haja gani ya kuzuia Lissu asipande kivuko? Hii ni mara ya pili Lissu anaambiwa kuwa kivuko ni kibovu.Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Hahah ndipo mtajua leo kwanini mtoto hatumwi dukani.Kwanini Lisdu afunge njia?? Haoni kuwa anawakwamisha watu! Inawezekana kweli kivuko kilikuwa kibovu lakini kimetengamaa baada ya kutengenezwa
Vyombo gani vya habari visirushe habari za lissu?Sasa kama akina Lisu waliambiwa kibovu ikitakiwa washushe magari yao.Kwa nini waliyaacha kwenye ferry? Inahoonekana yalipoingia magari wao wkasepa kutafuta kick vyombo vya habari
Tuashukuru vyombo vingi vya habari kugoma kurusha kick zao feki
Ni kulipia cost of loss wasipolipa magari yatashikiliwa hadi walipe au yatapigwa mnada na madalali wa mahakama.
Kwahiyo hao raia kwenye kivuko ndio waliompiga Risasi, ndio waliomfungia kampeni ndio wamempiga mawe na ndio wamemuvua ubunge.Wewe ni phaller tu.
Lissu avumilie mangapi.
1. Amepigwa bunduki hakuna hatua yoyote
2. Amenyimwa matibabu
3. Amevuliwa ubunge
4. Anafungiwa kampeni
5. Anspigwa mawe.
Unataka avumilie hadi wamnyee mdomoni?
#SASA BASI#
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Unafikiri ni kwanini ccm na serikali yake isitumie busara kidogo tu kumtendea haki Lissu kuliko hivi wanavyomfanyia?Anazidi kutengeneza chuki kwa watu.
Tusiendelee na ratiba zetu kisa mtu mmoja na interest zake?
Haiingii akilini.
Police au askari wakiamua kuvunja vioo vya magari na kuamua ku unlock hizo gari then wa park pembeni ili shughuli ziendelee kawaida utasikia poliCCM au askaliCCM.Kumbe wanayataka wenyewe.
Hii ni aibu kwa msafara unaoongozwa mwanasheria kublock public way[emoji615].
Nakiri kusema jeshi la polisi wanatakiwa kuwa na busara sana katika wakati huu. but wakiaamua kutumia sheria Lissu anaenda kukiponza chama cha chadema pakubwa sana na hata kufutwa kabisa.