Uchaguzi 2020 Tazama hii video ya kivuko alichozuiwa kupanda ndugu Tundu Lissu kwa madai kuwa ni kibovu kikiwa Mwibara kisha soma ufafanuzi wa yaliyotokea

Hakuna shida hapo, kivuko kimetoka ukerwe na magari na mizigo nimefika Mwibara sasa kwakuwa Mwibara kinajulikana ni kibovu kishushe abiria kisha kirudi Ukerewe na mizigo yake kikashushe huko, hapa ni kwamba lengo la kuchukua mizigo na magari toka Ukerewe kwenda Mwibara limetimia ila kutotokana na kivuko kuwa na aleji na Mwibara kimeshindwa kushusha.
 
Wafungue watakutana na wakili Lissu itakuwa tamu kesi hiyo.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Awezi shinda kesi hiyo miaka 800 na mimi naombea wafanye ivyo waifungulie CDM kesi ya madai, halafu tuone umahiri wa Lissu.

Unadhani hizo ni zile kesi za ku interpret maandishi ya sheria, huko kuna tests zake na Lissu clearly is at fault.
 
Traffic polisi bebeni hiyo migari breki down walipwe chao,Kivuko walipwe chaokwa Loss na watu binafsi waliokuwa blocked walipwe hasara yao ya kuwa blocked .Yasiachiwe hadi walipe na gharama ya kujaa nayo ipande hourly cost za ulinzi na ghala
 
Traffic polisi bebeni hiyo migari breki down walipwe chao,Kivuko walipwe chaokwa Loss na watu binafsi waliokuwa blocked walipwe hasara yao ya kuwa blocked .Yasiachiwe hadi walipe na gharama ya kujaa nayo ipande hourly cost za ulinzi na ghala
Kabisa sio kucheka kucheka nae kila siku.
 
HE IS NOT READY TO BE COMMANDER IN CHIEF......imagine Kuna mama anatakiwa kujifungua na kazuiliwa njia kwenda kujifungua Salama VIP kama Kuna wagonjwa Humo au Wazeee wenye umri mkubwa au watoto Wsiostahili Upumbavuu Huu dah HE IS SO SELFISH nimesikitika sana HAPO UNAMKOMOA MAGUFULI AU WANANCHI
 
..miradi mingi ya ujenzi hapa Tz inafanyika kwa kulipua-lipua.

..kwanini hilo eneo la gati haliruhusu magari kupitishana?

..kwanini hakuna eneo la maegesho ya magari?
Hayo ni maendeleo ya vitu
 
Kwanini Lisdu afunge njia?? Haoni kuwa anawakwamisha watu! Inawezekana kweli kivuko kilikuwa kibovu lakini kimetengamaa baada ya kutengenezwa

Walisema hakitatengenezeka hadi kesho ndo maana CHADEMA wakaondoka zao kuwa watafuata magari baadae akilini walikuwa wanawategea ili wakifika mbele wakwame sababu wote walijuwa kuwa kivuko siyo kibovu. Wamepata walichokuwa wanakitafuta.
 
Wameshakwambia kuwa kivuko ni kibovu, kwa hiyo hata kama asingeweka migari yake hicho kivuko kisingesaidia mwananchi yoyote,

sasa kivuko kibovu kitawezaje kuwabeba wajawazito?
 
Wee. Kichaaa si mlisema kuvuko kibovu hakifanyi Kaz Sasa kelele za nini
 
Wameshakwambia kuwa kivuko ni kibovu, kwa hiyo hata kama asingeweka migari yake hicho kivuko umeshaambiwa ni kibovu,

sasa kivuko kibovu kitawezaje kuwabeba wajawazito?
Okay Let's Wait and Sees kila Msilalamike kwa Sheria za Barbara zitakapochukua mkondo walipiweka magari sio parking Kivuko kiwe kizima ua Kibovu huna mamlaka ya kuzuia njiaa
 
Ajamkomoa mtu wakiamua wanaifungulia CDM kesi ya madai for loss of income kwa kuzuia shughuli zao na swala liko wazi awawezi kataa.

Either meli mbovu au nzima Lissu hana uhalali wa kuzuia njia.
Kesi ndio tishio
 
Wee. Kichaaa si mlisema kuvuko kibovu hakifanyi Kaz Sasa kelele za nini
That is still a public space isitoshe yeye sio sehemu ya management kujua muda ambao kivuko kitaanza kazi na wala hakuna sheria inayokataza kumnyima mtu services ata kivuko kingekuwa kizima.

Hivi ukiwa mfuasi wa Lissu ata commonsense tu inapotea.
 
Hakuna kumkomoa mtu ila wahusika wanapewa somo kuwa ujinga hauna faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…