Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Sana ila sikushindi weweHivi kumbe na wewe huwa ni mjinga kiasi hiki pia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana ila sikushindi weweHivi kumbe na wewe huwa ni mjinga kiasi hiki pia!
Hii inaitwa Mbwa kala MbwaKwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na kivuko kikatoka Ukerewe (Na tuliambiwa kuwa ni kibovu)
Tazama mbele ya kivuko yanaonekana magari. Magari haya ni pamoja na gari la Tundu Lissu (Prado nyeupe) na magari mengine ya msafara wa Lissu ambayo walitaka kuyavusha kwa kutumia kivuko hicho kutoka Mwibara kwenda Ukerewe. Sasa kwa kuwa waliambiwa kuwa kivuko ni kibovu, wakamua kuyaacha magari yao hapo (kama yanavyoonekana) kisha wakaenda zao Ukerewe kwa kutumia Mtumbwi.
Sasa ajabu kivuko kimetoka Ukerewe kimefika Mwibara hatimaye wameshindwa kushusha mizigo na mabasi waliyopaki ndani ya kivuko kwa kuwa magari ya msafara wa Lissu yaliachwa hapo na madereva wote wameenda Ukerewe pamoja na Lissu (Yame block njia).Sasa wanalazimika kusubiri hadi atoke Ukerewe ndipo waje watoe hayo magari ili kivuko kiweze kushusha mizigo na hayo mabasi.
Angalizo: Tundu Lissu aliambiwa kuwa kivuko ni kibovu na kwa leo kisingefanya kazi kabisa!
Swali, hapo nani kacheza kitoto?
View attachment 1599922
Huyu Mungu mwacheni aitwe Bwana.1 haikai 2 haiingii 3 haigawanyiki
Na Lindi hakuendeki nasikia
Tafadhali makofi kidogo kwa Lissu
Kila uchao mambo yanaji-sett yenyewe kwa Lissu. Thanks God
Kwanini Lisdu afunge njia?? Haoni kuwa anawakwamisha watu! Inawezekana kweli kivuko kilikuwa kibovu lakini kimetengamaa baada ya kutengenezwa
Wao si walisema kivuko ni kibovu?? Sasa imekuwaje. Akina Lissu waliacha gari parking wakijua hakuna shida✌✌✌✌DHAMBI HUZAA DHAMBI🤣🤣🤣 Hayo ni matokeo ya dhambi ya UONGO.
Lissu alikuwa anakimbizana na muda huku mtumbwi ukimuacha. Na alishaambiwa siku ya leo hakifanyi kazi na hakina ratiba yoyote kutokana na ubovu.Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Hofu ya kushindwa uchaguzi ni mbaya sana.Ni ulize Swali Hivi Kivuko ni Cha CCM, serikali au mtu Binafsi. Kwa nini roho Mbaya CCM wanafanya. Hivi Mgemwacha akapanda Kivuko na kwenda kuonana na watanzania wenzake ndo mngepungukiwa nini. Ijulika Fujo za Nchi Hii Chanzo itakuwa CCM...Mungu anawaona CCM. Yaani Chuki, Visasi, uonevu na kila aina ya dhuruma ni CCM,,,Daaa!!!
Kivuko ni kibovu.. unalaumu nini sasa weweHivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
SawaUpumbavu huo mnao nyinyi sio Raia wa Mwibara
Vipi inafurahisha eeh! Mkuki kwa nguruweNi kulipia cost of loss wasipolipa magari yatashikiliwa hadi walipe au yatapigwa mnada na madalali wa mahakama.
Ila gharama watatakiwa kulipa si kwa wamiliki kivuko tu Bali na wenye magari binafsi waliokuwa blocked
Ofisi ya dereva yeyote ni kwenye gari hao madereva wa Lisu waliondokaje na kuachia ofisi zao au magari yao kwa kivuko? Wenye kivuko andaeni invoice haraka wakija tu hapo loss yote walipe na wenye magari binafsi blocked daini fidia
Lissu alikuwa anakimbizana na muda huku mtumbwi ukimuacha. Na alishaambiwa siku ya leo hakifanyi kazi na hakina ratiba yoyote kutokana na ubovu.
Uliloko kajekudya.
Sasa kama akina Lisu waliambiwa kibovu ikitakiwa washushe magari yao.Kwa nini waliyaacha kwenye ferry? Inahoonekana yalipoingia magari wao wkasepa kutafuta kick vyombo vya habari
Tuashukuru vyombo vingi vya habari kugoma kurusha kick zao feki
Kwa nini kiliondoka kikiwa kibovu? Kilitaka kuua?Kwanini Lisdu afunge njia?? Haoni kuwa anawakwamisha watu! Inawezekana kweli kivuko kilikuwa kibovu lakini kimetengamaa baada ya kutengenezwa
Amewakomoa wenye kivuko, hawatafanya biasharaHivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
huoni happy Kuna Rais wapo kwenye Magari na Magari hayawezi kutoka humo. Huyu ndiye anataka raia hao hapa wamchague.
Ajamkomoa mtu wakiamua wanaifungulia CDM kesi ya madai for loss of income kwa kuzuia shughuli zao na swala liko wazi awawezi kataa.
Walisema kivuko ni kibovuHivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze