Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Hiyo ni version ya CDM nini kilichojiri there is another side to the story ili iwe balanced.Kisorya -Ngoma Ukerewe kivuko ni kimoja tu, kikiwa upande mmoja was upande was pili mnalazimika kusubiri! Sasa Kama kweli waliambiwa kivuko hakitakuwepo siku nzima ya leo inachosha kufikiri sababu nafahamu idadi kubwa ya watu wanaovuka hapo Kila siku, ndiyo kwetu huko, tofauti na kuchelewa, mawimbi, Sina kumbukumbu ya siku wananchi waliwahi pewa taarifa hiyo. Miaka ya 1998+ watu binafsi walijaribu kuvusha watu kwa kutumia mitumbwi ya engine haikuchukua muda mrefu wakapigwa marufuku, hivyo kivuko hicho tu ndiyo hufanya kazi hiyo.
Lakini kwa vyovyote kuzuia njia ni kosa.