Tazama jinsi HAMAS inavyotumia mahandaki kushambulia wanajeshi wa Israel huko Gaza

Israel ina silaha bora za kuangusha majengo mazima mazima na kuchimbua ardhi kina kirefu.Silaha hizo ni ghali sana na wakati mwengine huwa hazilengi sawasawa.Na mahandaki hata yakijulikana yalipo yapo chini ambapo hizo silaha hazipenyi.
Msaada unaohitajika ni dua ili Hamas waweze kuhimili hiyo mikiki ya Israel mpaka hapo Israel itakapoishiwa na silaha zake na misaada ikakata kutoka kwa wafadhili wake waliokwisha kukumbwa na ukata wa fedha na silaha kutokana na vita vya Ukraine.Hapo kwa uwezo wa Allah tutashuhudia askari wa Israel wakikimbia na kukimbizwa mpaka na watoto wadogo wanawaowapiga sasa.
Hivi Israel itakuwa maabara ikitoka na silaha za Ku ma neuvre kwenye mashimo hamtaamini
 
Wana mgambo wa HAMAS hawamiliki kifaru hata kimoja wapa ndege ya jeshi,harakati zao dhidi ya Israel huzifanya kwa kutumia bunduki, rocket na makombora ya masafa mafupi na yale ya mkononi pamoja na drones.

Israel imekua ikipata tabu na kutumia gharama kubwa kupambana na HAMAS kiasi cha kwamba sasa imeanzisha Vita kwa kuua wanawake na watoto na kiumbe chochote pamoja na Majengo baadala ya kupambana na wana mgambo husika.

Hii imetokana na HAMAS kutumia miundo mbinu ya chini ya ardhi ambayo ni mahandaki yenye mtandao wa urefu upatao 400km ambayo wanayatumia kuhifadhi silaa,kushambulia na hata mateka wengi imewahifadhi kwenye mahandaki hayo.

Baadhi ya mahandaki ni makubwa kama metro za treni za umeme ambapo kuna mifumo ya umeme na pia huruhusu gari kutembea ndani ya mahandaki hayo.

Jionee wana mgambo wakishambulia kwa mapigo makali na kuangamiza wanajeshi wa Israel hapo jana na juzi ndani ya eneo la Gaza
View attachment 2800639
View attachment 2800640
View attachment 2800641

View attachment 2800656
Hamas anashinda hii vita asubuhi sana.Israel watafutiliwa mbali kabisa na watakoma kuwachezea wapiganaji mahiri wa Kiislamu
 
Israel ina silaha bora za kuangusha majengo mazima mazima na kuchimbua ardhi kina kirefu.Silaha hizo ni ghali sana na wakati mwengine huwa hazilengi sawasawa.Na mahandaki hata yakijulikana yalipo yapo chini ambapo hizo silaha hazipenyi.
Msaada unaohitajika ni dua ili Hamas waweze kuhimili hiyo mikiki ya Israel mpaka hapo Israel itakapoishiwa na silaha zake na misaada ikakata kutoka kwa wafadhili wake waliokwisha kukumbwa na ukata wa fedha na silaha kutokana na vita vya Ukraine.Hapo kwa uwezo wa Allah tutashuhudia askari wa Israel wakikimbia na kukimbizwa mpaka na watoto wadogo wanawaowapiga sasa.
Vizuri Sana lisubiri Hilo kutokea. Lakini tegemea hayo maandaki yao yatakuwa sehemu ya makaburi yao
 
Wana mgambo wa HAMAS hawamiliki kifaru hata kimoja wapa ndege ya jeshi,harakati zao dhidi ya Israel huzifanya kwa kutumia bunduki, rocket na makombora ya masafa mafupi na yale ya mkononi pamoja na drones.

Israel imekua ikipata tabu na kutumia gharama kubwa kupambana na HAMAS kiasi cha kwamba sasa imeanzisha Vita kwa kuua wanawake na watoto na kiumbe chochote pamoja na Majengo baadala ya kupambana na wana mgambo husika.

Hii imetokana na HAMAS kutumia miundo mbinu ya chini ya ardhi ambayo ni mahandaki yenye mtandao wa urefu upatao 400km ambayo wanayatumia kuhifadhi silaa,kushambulia na hata mateka wengi imewahifadhi kwenye mahandaki hayo.

Baadhi ya mahandaki ni makubwa kama metro za treni za umeme ambapo kuna mifumo ya umeme na pia huruhusu gari kutembea ndani ya mahandaki hayo.

Jionee wana mgambo wakishambulia kwa mapigo makali na kuangamiza wanajeshi wa Israel hapo jana na juzi ndani ya eneo la Gaza
View attachment 2800639
View attachment 2800640
View attachment 2800641

View attachment 2800656
Wasalimie Jabaliah 😭😭😭
 
Hamas anashinda hii vita asubuhi sana.Israel watafutiliwa mbali kabisa na watakoma kuwachezea wapiganaji mahiri wa Kiislamu
😆😆😆😆😆
Usisahau Yahudi Ana Kiapo cha SAMSON OPTION
Tutalia wote na kusaga meno 😭😭
 
Nikusaidie basi hayo maandaki yametoka mpaka nje ya gaza na kuna mengine yaliingia mpaka israel
Tuliumbwa Tuishi Juu ya Ardhi!
Hata panya buku huwa wanatoka mashimoni kutalii!
Nawahurumia Hamas!;😭😭Muda utasema!
 
Akili za kuchambia ndiyo zinaweza kuuliza swali la kupumbavu kama ili .....maandaki yapo zigizaga kumchanganya adui. Na mengine yanajitegemea
Mkuu hukuwa na haja ya kumkeleli unge muelewesha tu.
 
JUST IN: Al-Qassam Brigades use a drone to drop a grenade on an Israeli militant force east of Beit Hanoun.
 
Attachments

  • twidown.mp4
    4.4 MB
Back
Top Bottom