Tazama katika picha hii Namna wanajeshi wetu walivyofurahi na kutabasamu baada ya kuonana na Rais Samia

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Mama yetu na Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anastahili kabisa kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Sijawahi kuona Binadamu wa namna hii aina ya Rais Samia ambaye kila mtu anatamani walau hata kugusa tu picha yake kwa furaha na tabasamu katika mabango ya barabarani na kutoa neno la shukurani Utafikiri picha ina uwezo wa kujibu.

Rais Samia anapendwa na kukubalika ni haijawahi kutokea. Mama kila akitua eneo lolote lile unaona namna watu wanavyolipuka kwa shangwe,nderemo,vifijo na kujawa na tabasamu katika nyuso zao.

Mama kila akitua sehemu unaona watu wakitamani asiondoke eneo hilo. Kila mtu anatamani aendelee kumsikiliza na kumuona tu mama huyu mwenye moyo wa upendo,ukarimu, unyenyekevu,huruma na uungwana wa hali ya juu.

Sasa embu jionee Mwenyewe namna wanajeshi katika kombati zao namna walivyofurahi na kujawa na tabasamu baada ya kuonana na Amiri Jeshi Mkuu wetu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama.

Mama wa watu hana makuu wala majivuno,hana kiburi wala dharau,hana masimango wala majishauzi .kwa hakika ninajivunia sana kuongozwa na Rais Samia kama RAIS Wangu.natamani aendelee kuongoza tu muda woteTaifa hili.maana naona namna watanzania mitaani walivyo na furaha na utawala wake uliojaa haki na masikilizano.

Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu,Usishindane na aliyepewa kibali na Mungu,Usishindane na aliyeinuliwa na Mungu. Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kwa makusudi maalumu ya kuliongoza Taifa letu.kwa hakika libarikiwe sana Tumbo lililombeba Rais Samia .maana lilibeba kiumbe kilichokuja kuleta furaha na tabasamu kwa mamilioni ya watu wa Taifa hili.
Screenshot_20240823-183630_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Vichaa wanazidi kuongezeka milembe ipanuliwe , yani eti Rais kupiga picha na askari wakitabasam nalo linaonekana ni maajabu mpaka mtu anaanzisha andiko sasa sijui alitaka walie! alafu watu kama hawa eti ndo makada wa ccm ndo maana lichama limekufa kifo kibaya sana
 
Labda umekufa wewe kifikra .unaanzia wapi kusema chama kimekuwa? CCM ndio tumaini la watanzania.ndio maana inaendelea kuungwa mkono kila uchao .vyama vya upinzani ndio vimekufa kibudu hapa Nchini
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Mama yetu na Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anastahili kabisa kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Sijawahi kuona Binadamu wa namna hii aina ya Rais Samia ambaye kila mtu anatamani walau hata kugusa tu picha yake kwa furaha na tabasamu katika mabango ya barabarani na kutoa neno la shukurani Utafikiri picha ina uwezo wa kujibu.

Rais Samia anapendwa na kukubalika ni haijawahi kutokea. Mama kila akitua eneo lolote lile unaona namna watu wanavyolipuka kwa shangwe,nderemo,vifijo na kujawa na tabasamu katika nyuso zao.

Mama kila akitua sehemu unaona watu wakitamani asiondoke eneo hilo. Kila mtu anatamani aendelee kumsikiliza na kumuona tu mama huyu mwenye moyo wa upendo,ukarimu, unyenyekevu,huruma na uungwana wa hali ya juu.

Sasa embu jionee Mwenyewe namna wanajeshi katika kombati zao namna walivyofurahi na kujawa na tabasamu baada ya kuonana na Amiri Jeshi Mkuu wetu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama.

Mama wa watu hana makuu wala majivuno,hana kiburi wala dharau,hana masimango wala majishauzi .kwa hakika ninajivunia sana kuongozwa na Rais Samia kama RAIS Wangu.natamani aendelee kuongoza tu muda woteTaifa hili.maana naona namna watanzania mitaani walivyo na furaha na utawala wake uliojaa haki na masikilizano.

Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu,Usishindane na aliyepewa kibali na Mungu,Usishindane na aliyeinuliwa na Mungu. Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kwa makusudi maalumu ya kuliongoza Taifa letu.kwa hakika libarikiwe sana Tumbo lililombeba Rais Samia .maana lilibeba kiumbe kilichokuja kuleta furaha na tabasamu kwa mamilioni ya watu wa Taifa hili.View attachment 3077356

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
FB_IMG_1723648021595.jpg
 
Photoshop hii.
 
Back
Top Bottom