Tazama katika picha hii Namna wanajeshi wetu walivyofurahi na kutabasamu baada ya kuonana na Rais Samia

Sijawahi kukutisha na Sina sababu ya kukutisha

Nilikwambia unamuongelea Rais kama unamuongelea bodaboda

Sometimes unatoa mpaka ratiba za Rais as if ww ndio msemaji wake

So nilikwambia Tu kuwa Rais ni Taasisi namba moja Tanzania

Sio kila ukilala ukiamka unakuja na topic ambayo inamhusu Rais wa inchi

Sometimes unaongea mambo ambayo watu wanaongea maneno mabaya juu ya Rais wa inchi kupitia topic zako

Unaweza kuhisi unamjenga au unajijenga kumbe unaharibu na unawapa shida watu kujenga tena

Hope umenielewa
Mnafiki tu wewe huna lolote lile zaidi ya unafiki
 
Wanajeshi wetu wana imani kubwa sana na uongozi wa Rais Samia na namna anavyoendesha Taifa letu. Wanaona namna anavyolinda na kuitetea katiba yetu. Wanaona namna Taifa linavyoendelea kupaa kimaendeleo.wanajionea namna ambavyo Rais wetu anaendelea kuriboresha Jeshi letu kwa kulipatia zana nzuri ,za kisasa na bora na mahitaji mengine mbalimbali yanayohitajika ili,ikiwepo maslahi mazuri ya wanajeshi wetu ili wafanye kazi kwa morali na kwa utulivu.

Waache wana jeshi kwenye hizi siasa zako. Sio tu wameomba, bali wamewsema bungeni
 
Nilichokiona Nimewaza Mavazi ya jeshi yasiwekewe alama ya dini ni hatari Kwa mstakabali wa taifa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Mama yetu na Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anastahili kabisa kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Sijawahi kuona Binadamu wa namna hii aina ya Rais Samia ambaye kila mtu anatamani walau hata kugusa tu picha yake kwa furaha na tabasamu katika mabango ya barabarani na kutoa neno la shukurani Utafikiri picha ina uwezo wa kujibu.

Rais Samia anapendwa na kukubalika ni haijawahi kutokea. Mama kila akitua eneo lolote lile unaona namna watu wanavyolipuka kwa shangwe,nderemo,vifijo na kujawa na tabasamu katika nyuso zao.

Mama kila akitua sehemu unaona watu wakitamani asiondoke eneo hilo. Kila mtu anatamani aendelee kumsikiliza na kumuona tu mama huyu mwenye moyo wa upendo,ukarimu, unyenyekevu,huruma na uungwana wa hali ya juu.

Sasa embu jionee Mwenyewe namna wanajeshi katika kombati zao namna walivyofurahi na kujawa na tabasamu baada ya kuonana na Amiri Jeshi Mkuu wetu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama.

Mama wa watu hana makuu wala majivuno,hana kiburi wala dharau,hana masimango wala majishauzi .kwa hakika ninajivunia sana kuongozwa na Rais Samia kama RAIS Wangu.natamani aendelee kuongoza tu muda woteTaifa hili.maana naona namna watanzania mitaani walivyo na furaha na utawala wake uliojaa haki na masikilizano.

Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu,Usishindane na aliyepewa kibali na Mungu,Usishindane na aliyeinuliwa na Mungu. Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kwa makusudi maalumu ya kuliongoza Taifa letu.kwa hakika libarikiwe sana Tumbo lililombeba Rais Samia .maana lilibeba kiumbe kilichokuja kuleta furaha na tabasamu kwa mamilioni ya watu wa Taifa hili.View attachment 3077356

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sidhani kama hizo sura ni za mabaka halisi mbona kama hao ni jkt waliovalishwa share za mabakan!?

Sasa ni rasmi huko ndani Kuna fukuta!

Lengo la kupiga hiyo picha ni justification ya Nini !!?kama hakuna tatizo!?

Mbona nawaza;-

Mabaka(nchi) vs jkt(mwenyekiti)

Mawazo koma kabisa!!!

Nadhani!!

Hivi uchaguzi wa serikali mitaa utakuwepo kweli!?Tena wa amani!!?
 
Ndiyo wale wale walio kunywa uji wa mgonjwa alafu mgonjwa akakata moto,Asa hapo umeona kitu gani cha tofauti mpaka unaanza kuandaa andiko, ungejua jua kwamba jamaa hawamtaki. Hii Inchi inafika kubaya kila kitu anacho fanya anasifiwa tuu machawa wanazidi kuongezeka 2.
 
Naona tayari umesha changanyikiwa.
 
Ndiyo wale wale walio kunywa uji wa mgonjwa alafu mgonjwa akakata moto,Asa hapo umeona kitu gani cha tofauti mpaka unaanza kuandaa andiko, ungejua jua kwamba jamaa hawamtaki. Hii Inchi inafika kubaya kila kitu anacho fanya anasifiwa tuu machawa wanazidi kuongezeka 2.
Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu
 
Back
Top Bottom