Tazama katika picha hii Namna wanajeshi wetu walivyofurahi na kutabasamu baada ya kuonana na Rais Samia

 
Hivi wewe Lucas una mke na watoto ? Au wewe wale vijana wa 2000,na je umeanza lini kutumia smartphone? Na hiyo uliyonayo ni ya ngapi ?
Kwani hapa kuna sensa hadi uanze kuniuliza habari za simu na matumizi yake.
 
Ni
NIlishanga nikasema amewafikiaje kume wamekaa akaonekana mrefuuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hiyo picha umeiphotoshop bhana!
 
Mbowe na Lisu pamoja na Genge lao watanuna πŸ˜†πŸ˜†
 
Ukute kura hutampa kamwe ila hapa unalazimika kumpamba sana kwa sababu ya pesa unayopewa.
Njaa mbaya broo
Mimi silipwi. Lakini napenda kukwambia kuwa natamani kupiga kura hata ya wazi kama ingekuwa inawezekana ili Dunia nzima ifahamu ya kuwa nimempigia kura ya Ndio Rais wangu na Jemedari hodari Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. ili Taifa liendelee kuneemeka na kupata maendeleo ya kasi pamoja na kutamalaki kwa amani,utulivu na mshikamano ndani ya Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…