Wanajeshi wetu wana imani kubwa sana na matumaini makubwa sana na uongozi wa Amiri Jeshi Mkuu wetu mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Uwe unaona hata aibu. Mpaka unayemsifia anaona kuwa anachoreka tu, yale yale mpaka ukamwaribia 2mbili kwa sifa zako za kijinga, nadhani hana hamu na wewe tena na muda si mrefu atakudai pesa zake